Cm yangu aina ya tecno t721 ina tatizo la kubadilisha text messege kwenda mms pindi niandikapo sms yenye zaidi ya characters 150 hivyo kushindwa kuituma.nifanyaje ili niweze kutuma sms ndefu?
watanzania tuache uvivu wa kufikiri.tusipende kuridhika na pesa tulizo nazo.hata kama unapata kiasi kikubwa cha pesa usiridhike ukakaa umebweteka.piga kazi sio kukaa kupiga umbea au kucheza bao.nawapongeza hao walimu.keep it up after all kazi ya bodaboda ni kazi kama kazi zingine!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.