Usikata tamaa mkuu, ipo siku utaacha hutaamini! Nlikuwa mtumiaji mzuri sana wa sigara ..yaani kwa siku nlikuwa nikitumia pakt 1 ya embassy. Ila siku moja nikakata sharing nikwanini napata tabu haswa napokuwa ktk mikusanyiko ya watu nikaa nikarafakari nikajiwekea dhamira yakujaribu kuacha kwa...
Tukazane mkuu tutafute hela yaha manung'uniko namalalamiko hayatatusaidia ,kukaa kwao huko nijitihada ndgu .Nasisitiza tutafute hela huwezi ukalala ukaota tu na kuwa namatananio yakitu fulani bila yakuwa najitihada najitihada zenyewe nikuwa na kipato kinachotosheleza kukuwezezesha kuishi sehemu...
Namimi niongezee tu kwakwel pole zake zimuendee nyingi watu hatujui maana ya mume nini asee kwamba fangu amekuwa na amebalehe namahusiano yote aliyowahi kuingia ama kutembea kwakehakuwahi kuona mwanaume mzuri saa zingne inatakiwa tukuwe kimwili kiakili na kihisia (many many sory goes to her
Kuna misemo ambayo sijui ukweli wake ama uhalali wake ama uthibisho wake ulitoka wap ama unatoka wapi!! Huwa najiulza wale waliosema marehemu hasemwi walikuwa wanamaanisha nn!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.