Recent content by ukawa2020

  1. ukawa2020

    JamiiForums Tanzania GE2020 Namna ya kumpigia kura Mgombea Urais Tundu Lissu

    Wafundishe wapiga kura namna ya kumpigia Kura mbeba maono Tundu Lissu. Sambaza video hii.
  2. ukawa2020

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ratiba ya Kampeni ya Mgombea urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu kuanzia Oktoba 18 - 27, 2020

    Mbona alifika mapema wiki ya kwanza ya uzinduzi? Wakati anapiga kwenye kanda 10?
  3. ukawa2020

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kishindo: Sheikh Ponda atoa neno kwenye mkutano wa Lissu Dodoma, Uwanja walipuka kwa shangwe

    Eti sisi chedema, sema sisi sisiem tunaotumika kama ndomu. Unafikili kuweka profile ya bendera ndo kuwa chadema? Acha ufala wewe Lumumba waambie na wenzio.. wakusanye makopo yao zimebakia siku 10 tu watupishe Ikulu
  4. ukawa2020

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu kufanya kampeni mpaka usiku, hii sio hatari kwake?

    Bado unasafari ndefu ya kuelewa mambo yanavyokwenda
  5. ukawa2020

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli unatukosea sana watanzania

    ifike muda popote anapoongea vitu kama hivyo afanyiwe kama walivyofanya wahaya Bukoba atapata adabu. Pia na yeye ajue Lissu atampelekea maji na umeme Chato ili astaafu vizuri
  6. ukawa2020

    JamiiForums Tanzania GE2020 IGP Sirro amtaka Tundu Lissu kuripoti kituo cha polisi Moshi mkoani Kilimanjaro

    Watua hivyo hivyo kama wananyolewa! hatutaki ujinga.
  7. ukawa2020

    JamiiForums Tanzania GE2020 IGP Sirro amtaka Tundu Lissu kuripoti kituo cha polisi Moshi mkoani Kilimanjaro

    Kamanda siro na wewe usitufokee!!! twambie ni sheria ipi Rais wa watanzania mtarajiwa Tundu Lissu amevunja kwa kuwaonya watu wako polisi ambao wako buzy kupiga picha mikutano yake yote wakati mikutano ya mgombea wa sisiem hawafanyi hivyo?. Tunakuonya usitufokee wapiga kura tunajambo...
  8. ukawa2020

    JamiiForums Tanzania Ni hivi, CCM na mgombea wenu tunataka majibu ya maswali haya bado tunakusubiri

    Ni hivi, CCM na mgombea wenu tunataka majibu ya maswali haya bado tunakusubiri. 1. Wapi walipo Ben Saanane na Azory Gwanda na wengineo wengi waliopotea? 2. Wakina nani walimuua Alphonce Mawazo na wengineo kina Ruwena? 3. Wakina nani walimpiga risasi shujaa wa tanzania Tundu...
  9. ukawa2020

    JamiiForums Tanzania GE2020 Uamuzi wa Musoma Mjini upo mikononi mwa Wananchi

    Mwita Julius wa CHADEMA, Huwezi kumlinganisha na hiyo takataka, wanamusoma wameshaamua! Julius anatosha , Chadema inatosha
  10. ukawa2020

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Bashiru: Wanaotegemea Tume Huru iwape ushindi wanajidanganya! Tume haipigi kura

    Tatizo hujui siasa ni nini. Kwa kifupi na kwa msaada wako Siasa ni mfumo mfumo wako wa maisha, siasa ndo inakupangia wewe uvae nini, ule nini, ufanye biashara wapi, kodi yako ikusanywe je, usome shule za aina gani. yote haya na mengine yanaamliwa na siasa na wanasiasa. ukisikia...
  11. ukawa2020

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Bashiru: Wanaotegemea Tume Huru iwape ushindi wanajidanganya! Tume haipigi kura

    ndo ulivyo na akili ndogo. hutaki bunge, uoni faida ya wanasiasa. wakati huo unataka urekebishiwe mifuo ya kodi. hujjui hiyo mifumo ni shereia zinazotungwa na bunge na hao wanasiasa?
  12. ukawa2020

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Bashiru: Wanaotegemea Tume Huru iwape ushindi wanajidanganya! Tume haipigi kura

    Hatususi uchaguzi, hata kama tume haitakuwa huru tutashiriki. Ila uhakika ni kwamba watawala watatuomba tusitishe mikakati yetu na hapo hatutakuwa na muda wa kuwasikiliza. Wakati ni sasa kila Mtanzania asema tunataka tume huru tusisubiri yaharibike
  13. ukawa2020

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Bashiru: Wanaotegemea Tume Huru iwape ushindi wanajidanganya! Tume haipigi kura

    Akili za kijinga kama hizi, bado zipo mtaani zinafanya nini? si bora tukubadirishe na gunia la mahindi.
  14. ukawa2020

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Bashiru: Wanaotegemea Tume Huru iwape ushindi wanajidanganya! Tume haipigi kura

    Msikilize Katibu Mkuu wa CHADEMA Mhe. John Mnyika
  15. ukawa2020

    JamiiForums Tanzania Mzee Sumaye: Niliambiwa mapema ndani ya Chama chetu hakuna Demokrasia, ukigusa uenyekiti wa Mbowe utashughulikiwa

    Uchaguzi uliofanyija Jioni hii Kibaha Pwani wa kumpata mwenyekiti wa Kanda ya pwani, Chadema umekanilika Kwa nafasi ya Mwenyekiti, Mgombea alikuwa Mzee Sumaye Peke yake ndipo zikapigwa kura za Ndio au hapana Matokeo: Kura za Ndio kwa Mzee Sumaye ni 28, na kura za Hapana ni 48 Hivyo, nafasi ya...
Back
Top Bottom