Recent content by ukata

  1. U

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Kauli rasmi kuhusu yaliyotamkwa na Dr. Willibrod Slaa

    Hope alisema kama kunaushaid fungueni kesi,sasa mnataka ijibu nn mbona hamna kesi mahakamani. Tutumieni akili tusiburuzwe tena. Hamstuki kwann anaandamwa watu wanajua atakachofanya akishinda urais so wanahofu.
  2. U

    JamiiForums Tanzania GE2015 Alichoandika Juma Mwapachu mara tu Sumaye alipotangaza kuhamia UKAWA

    Kiongozi ni yule mtu anaefanya vitu kwa usahihi,mfano kwenye tatizo la maji anaweza akabuni njia ya kutatua kama kuchimba visima na kadhalika. Mtawala niyule anafanya vitu sahihi tu na hawezi kuwa mbunifu kwasababu atakua anafata miongozo na sheria za utawala. Tanzania saizi inahitaji kiongozi...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Magufuli: Nazijua shida za Watanzania

    Shida zetu anazijua leo alikua wapi miaka 20 yuko madalakani?
  4. U

    JamiiForums Tanzania Kampeni za uraisi

    Kutunza na kuwatibu tembo watakao jeruhiwa kwa bahati mbaya.
  5. U

    JamiiForums Tanzania Kampeni za uraisi

    kutowang,oa meno faru na tembo.
  6. U

    JamiiForums Tanzania Leo 22/8/2015 kampeni zinazinduliwa rasmi

    Kwa mujibu wa tume ya uchaguzi leo watanzania wanaanza kusikiliza sera,hoja,kejeri na mambo mengi kutoka kwa wagombea wa nafasi mbalimbali. Ombi langu kwa wagombea wote bila kujali chama au itikadi yako mjikite kwenye hoja" mtuambie ninimtatufanyia na mnampango kazi upi utakao wawezesha...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Mbowe amkaribisha rasmi Lowassa CHADEMA

    Mwambie anaacha yake anaangaika na jirani.
Back
Top Bottom