Recent content by UKARIMU

  1. UKARIMU

    JamiiForums Tanzania Viungo vya mwili kufa ganzi: Elewa Chanzo, Tiba na mambo muhimu ya kuzingatia

    Waungwana, Salamu! Kuna rafiki yangu wa karibu anasumbuliwa na ganzi mwilini hasa mikononi ni Kali. Siku za nyuma alipata lower back pain, akatibiwa, akajiona kupona. Hivi karibuni akifanya mazoezi, akashtua LBP akapatwa na ganzi Kali mwili mzima, miguu na kiuno kuwa dhaifu! Katumia sawa; ganzi...
  2. UKARIMU

    JamiiForums Tanzania NSSF mnanifanyia dhulma haki yangu

    Kweli ni mateso. Kana kwamba unaomba mkopo wa fadhila! Dhana ya Uhuru wa kweli bado ni ndoto na iko mbali. Kama kusema kweli kuna gharama, heeh... (backlash)!
  3. UKARIMU

    JamiiForums Tanzania Na hawa wanakatwa fedha kwenda mifuko ya hifadhi ya jamii?

    W
  4. UKARIMU

    JamiiForums Tanzania Maudhui mtandaoni ni nini?

    Bro. Mshana Jr. nipe mwangaza, mfano: nina page ya Facebook nk. ninaandika somo la lugha, afya,nk. kwa kuelimisha jamii nk. Hapo, Bro., nahitaji leseni?
  5. UKARIMU

    JamiiForums Tanzania Maudhui mtandaoni ni nini?

    Kwa mantiki hiyo, matumizi yetu ya mitandao ya kijamii bila leseni ya TCRA ni kosa kisheria?
  6. UKARIMU

    JamiiForums Tanzania Maudhui mtandaoni ni nini?

    Kuna sehemu nilisoma kwamba yuko mtu alitozwa faini ya Tsh milioni 5 kwa kuweka maudhui mtandaoni bila leseni kutoka mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA). Tunaandika, tunaweka picha, sauti nk. katika Facebook, tweeter, YouTube nk. Naomba kuelimishwa: Kipi ni maudhui na kuweka maudhui...
  7. UKARIMU

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kuishtaki NSSF kwa kutolipa mafao ya wanachama?

    Kuna uwezekano kisheria kuishitaki NSSF mahakamani kwa kutolipa mafao ya mwanachama kwa wakati na ilipe fidia ya madhara aliyopata mwanachama kwa mafao yake ' kushikiliwa' na NSSF pamoja na gharama ya kesi? Naomba kufahamu hili.
  8. UKARIMU

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya udereva (light vehicle) au ya afya na usalama kazini (occupational, safety and health)

    Neno (ushauri, nk.) jema ni sadaka! Nakushukuru sana Bro. kwa ushauri wako thamini.
  9. UKARIMU

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya udereva (light vehicle) au ya afya na usalama kazini (occupational, safety and health)

    D
Back
Top Bottom