Recent content by ukara

  1. ukara

    Ni ushauri tu, Vijana jifunzeni kuheshimu Viongozi waliopo Madarakani

    Unachosema ni sahihi kabisa. Si vijana tu ndo wanapaswa kuwaheshimu viongozi wetu bali watu wa rika zote na jinsi zote yaani ambao wanajitambua kwa mjibu wa katiba ya nchi. Swali ni je, hao viongozi wenyewe wanawaheshimu wengine? Wanaheshimu nafasi zao walizonazo? Wanaheshimu raia wao?
  2. ukara

    Maisha ya Luhaga Mpina mashakani sana. Anakoelekea siyo kuzuri

    Labda umefanya utafiti na kugundua kwamba Watanzania miloni 60 hawana uchungu? Na kwanini tuamini unayotueleza?
  3. ukara

    Salim kikeke kumrithi Msigwa?

    Naunga mkono hoja
  4. ukara

    UVCCM Chato: Hatutaruhusu kuona hata hatua moja ya Tundu Lissu ikikanyaga Chato. Tupo tayari kwa lolote

    Kuzaliwa Tanzania ni raha sana. Yaani Mtanzania anamzuia Mtanzania asikanyage Tanzania
  5. ukara

    Hongera DP world kwa kutua Tanzania

    Kwani kila anayepaza sauti yake kuhusu huo mkataba ni mpinzani? Kwahiyo wewe kila anayetetea raslimali za nchi yetu ni mpinzani? Tuna safari ndefu sana kufika huko twendako
  6. ukara

    Malisa GJ huna uhalali wa kumlalamikia Nape kuku-block. Wewe ni kinara wa kupiga block

    Eti nawe uitwe "Great Thinker???" Kazi ipo kweli kweli. Matongee🤣🤣🤣🤣🤣
  7. ukara

    Malisa GJ huna uhalali wa kumlalamikia Nape kuku-block. Wewe ni kinara wa kupiga block

    Kumbe mbuzi anajambia mdomo???!!! Mimi sijui kama Iko hivyo aisee. Baada ya hayo narudi kwenye hoja ya msingi. Nani alikwambia "Coward" ni tusi? Inaonekana Kiingereza ni "Mamamkwe" kwako. Tumieni lugha za watu vizuri.
  8. ukara

    Malisa GJ huna uhalali wa kumlalamikia Nape kuku-block. Wewe ni kinara wa kupiga block

    Hivi "Coward" ni tusi???!!!! Mimi nilikuwa sijui eti
  9. ukara

    Serikali kujenga hospitali mpya Wilaya ya Ukerewe

    Ukerewe+Ukara. Hiyo imekaa vizuri
  10. ukara

    Wapinzani pelekeni hoja nzito kwa wananchi, sio blaa blaa za Bandari

    Kwahiyo kwako wewe suala la bandari ni blaa blaa? Kweli "Kichwa kisicho na akili ni mzigo kwa shingo."
  11. ukara

    Kumtukana Rais Samia hadharani ni uhaini

    Aisee, wewe ni mnoma sana a.k.a mdedile. Yaani mpaka umewakopi vigogo hao watatu? Unataka hao vigogo wawashughulikie barabara Nadhani kuna tofauti kati ya kumsema mtu vibaya na kumtukana. Mtu anaweza kusemwa vibaya labda kutokana na tabia au mwenendo wake usioridhisha. Hata katika hali ya...
  12. ukara

    Askofu Zakaria Kakobe Aungana na Tundu Lissu: Ni Kuhusu Tanganyika na Zanzibar. Afafanua kwa mapana

    Nadhani uwendawazimu wa mahaba ya dhati kwa mwendazake unakunyemela. Yaani unaandika utumbo mpaka mishipa ya shingo inakusimama.
Back
Top Bottom