Recent content by UJINGA WA MWAFRIKA

  1. U

    Wingi wa wanachama mkoani Dodoma wamfurahisha Katibu Mkuu wa CCM, Kinana

    Anawalambisha vipofu asali kwa mgongo wa chupa na hivi hawaoni.Pia nisaidie alikujaje huku toka ogaden,somalia
  2. U

    Nisaidie kufungua mashitaka dhidi ya rais Jakaya Kikwete mahakama ya ICC the Haque

    Naendelea kukusanya vielelezo,na ndio sababu nahangaika kukomesha utawala kandamizi kuliko hata ule wakoloni walitutendea
  3. U

    Nisaidie kufungua mashitaka dhidi ya rais Jakaya Kikwete mahakama ya ICC the Haque

    Nisaidie kufungua mashitaka dhidi ya rais jakaya kikwete mahakama ya icc,the haque
  4. U

    Nisaidie kufungua mashitaka dhidi ya rais Jakaya Kikwete mahakama ya ICC the Haque

    Watanzania wenzangu ambao mmeshuhudia ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu,tanzania kufanywa soko na njia kubwa ya usafirishaji madawa ya kulevya,rasilimali za nchi kukabidhiwa wageni kwa bei chee, mali zetu kuingiwa mikataba ambayo ni siri kwa sisi wenye mali,ujangili wa tembo,faru. Nchi yetu...
  5. U

    Kabidhi nchi kwa wazalendo watanzania tufike salama,jakaya kikwete

    Nimekuwa nakusikiliza sana ukitoa hotuba kwa masuala mbalimbali na imejionyesha wazi huna element hata kidogo ya vision ya uchumi wewe kama mtu binafsi na hata serikali unayoiongoza.pia nimekuwa najiuliza safari za ziara unazofanya nje ya nchi na kwa lengo lipi!sijaona move ya serikali yako...
  6. U

    Rais jakaya kikwete unashabikia afrika kujitoa mahakama ya icc ukihofu nini?

    Mkutano wa ninyi marais pale ethiopia,moja ya ajenda yenu ilikuwa ni kujadili kwanini mshitakiwe katika mahakama ya icc na azmio lenu mkasema sisi(marais)hatutaki mtushitaki huko kwa kuwa ni uonevu kwa bara la afrika!je rais wetu,tanzania ililazimishwa kuwa mwanachama katika mkataba huo?na je...
  7. U

    Wapinzani wamefikia malengo yao

    jambo la vyama pinzani kukutana na rais si kutimiza ama kufanikisha lengo la vyama vya siasa,hasha!katiba si kwa manufaa ya vama vya siasa bali ni kwa ustawi wa umma kwa asiyefahamu juu ya nchi yake na yule mwenye kufahamu na ajitolee kupigania wengine na hilo ndilo linapiganiwa na watanzania...
  8. U

    Kuondolewa kwa picha ya Nyerere makao makuu ya AU, tunajifundisha kitu gani?

    Je kanuni za AU zimeandikwa picha ya Nyerere ibandikwe ukutani!iSSUE si picha kwa ukuta,ungeleta hoja ya mjadala iwapo falsafa ya nyerere juu ya afrika kuungana na kujitegemea kiuchumi inaenziwa na AU Hapa hapa TZ baadhi ya ofisi za umma na kamuni binafsi hakuna picha za mwalimu sembuse addis ababa
  9. U

    Wageni wenye uraia wa Tanzania waondolewe kwenye utumishi ndani ya serikali

    Mzee John Rupia,Mzee Ibrahimu Kaduma,Mtemi MILAMBO ,Chief Mkwawa,Rashid Kawawa ni baadhi tu ya raia wa asili.Wamelinda,kuhifadhi na kutetea kwa uhai na mali zote ndani ya Taifa hili.TAZAMA LORD RAJPAR ALIKIMBILIA WAPI,KINANA AMEHUSISHWA NA MELI ILIYOSHEHENI VIPUSA VYA NDOVU,A.KASSAM ALIZIKWA...
  10. U

    Meya jiji mbeya ameivuluga halmashauri vya kutosha

    Meya huyu takribani miaka 7 sasa amekuwa anafitinisha wakurugenzi katika ngazi mbalimbali za ccm toka enzi ya mama munuo na hili ni kwa kupigania maslahi yake binafsi ambayo alijijengea mazoea wakati wa kabwe.jiji hili amelivuruga vya kutosha na kinachonishangaza ngazi zote za serikali wilaya na...
  11. U

    Wageni wenye uraia wa Tanzania waondolewe kwenye utumishi ndani ya serikali

    Ili tuendelee kuweka nchi hii katika hali ya usalama wakati wote na hatua hizi zinachukuliwa sasa za operesheni kuondoa wahamiaji haramu nchni zile zimeanza mipakani. Ni wazi tumeona athari kubwa zinazoambatana nao kwa uingizaji silaha,ujambazi na kujenga hofu kwenye maeneo hayo. Ni wazi wapo...
Back
Top Bottom