Recent content by Ujinga mtupu

  1. Ujinga mtupu

    JamiiForums Tanzania Goodluck Gozbert amepotelea wapi?

    Hello. Nini kimetokea kwa msanii wa nyimbo za Gospel Good luck Gozbert amekuwa na ukimya mkubwa sana uliopitiliza na haieleweki umesababishwa na nini. Hakuna hits song Tena Wala kuvuma na nyimbo zake zile kama zamani.
  2. Ujinga mtupu

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wapya wa Sekta ya Afya katika Halmashauri ya Jiji (Dar) tunafanya kazi katika mazingira magumu

    TULIOAJIRIWA WIZARA YA AFYA OCTOBER. HATUJALIPWA MSHAHARA WALA KUJIKIMU NA UBAYA TUKO KAZINI. MZEE KUWA MPOLE MAMBO YANAUMIZA SANA KWA SASA
  3. Ujinga mtupu

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Roma Mkatoliki amezaa nje ya ndoa

    .
  4. Ujinga mtupu

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Roma Mkatoliki amezaa nje ya ndoa

    Kwa wambea wa kimtandao inasemekana Roma amezaa ulaya anakoishi na amezaa ba mzungu. Ushahidi wa post alizopost mwenyewe kwenye ukurasa wake IG akisindikizwa na ujumbe wa THANKS God wenye kuonyesha picha ya mtoto wake.
  5. Ujinga mtupu

    JamiiForums Tanzania Nabii Tito nani anamdhamini kumdhihaki Mungu

    Habari. Huyu yuko anashinda sana Live TikTok na kuwashawishi vijana wawe mahanisi. Amekuwa akipost video amevaa nguo zenye nembo ya CCM na mkewe huku akitembea mitaani na kushinda Tiktok. Anajiita Mungu. Anashinda Tiktok masaa 24. Swali langu nani amadhamini huyu kichaa ili aweze kutrend
  6. Ujinga mtupu

    JamiiForums Tanzania Ajira Portal wananiambia sina vigezo vya ku apply wakati kila kitu nimefanya nimekamilisha

    Kuna ile ya with education na in education tofauti nini?
  7. Ujinga mtupu

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Ila utumishi mwezi huu wapewe maua yao.
  8. Ujinga mtupu

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Mwezi wa Saba Unaenda kuisha Nipende kuwapongeza. Civil engineering. Madaktari. Nurses. Famasia. Maendeleo ya jamii. Madaktari wanyama. Mifugo na kilimo. Hizi ni kada zilizoongoza kulamba asali kwa mwezi huu. Tusubiri wa nane sijui zamu ya nani itakuwa?
  9. Ujinga mtupu

    JamiiForums Tanzania Kutokupata ujumbe wa kukamilisha kutuma maombi kwenye ajira portal inaweza kua tatizo

    Ebu jiandae na interview. Kaangalie status ya maombi kama received imeisha
  10. Ujinga mtupu

    JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza ajira za ualimu kwa mwaka 2024 zaidi ya nafasi 11,000

    Inategemeaana nani yuko madarakani?
  11. Ujinga mtupu

    JamiiForums Tanzania Nani anamuelewa Pastor Tony Kapola?

    Habari. Siongei kwa ubaya ni nani anayemuelewa Pastor Tony Kapola juu ya. ° Uvaaji wake ° mahubiri yake hasa Yale ya kusema anataka kufanya collaboration na diamond ° usela usela uhuni mwingi. Je, tunajifunza nini Vijana wa sasa.
  12. Ujinga mtupu

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Ahsante sana kwa ushauri
  13. Ujinga mtupu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utawezaje kuishi na mwanamke Mwenye kinyongo

    Asante
  14. Ujinga mtupu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utawezaje kuishi na mwanamke Mwenye kinyongo

    Habari. Uliwezaje kuishi na mwanamke anayenuna kila wakati, Mwenye kinyongo, Mwenye kupenda pendant ugomvi bila sababu. Hali inayopelekea kulazimishana mapenzi.
Back
Top Bottom