Recent content by Ujiji

  1. U

    JamiiForums Tanzania Sakata wafadhili wa UKIMWI kujiondoa: Wizi umezidi mama yangu Fatma wa TACAIDS na sio porojo

    Ni kweli aisee hajaja kushagaa maghorofa mjini!Hata mkubwa alisema ukitaka kula nawe ukubali kuliwa!
  2. U

    JamiiForums Tanzania Sakata wafadhili wa UKIMWI kujiondoa: Wizi umezidi mama yangu Fatma wa TACAIDS na sio porojo

    Tumechoka watumwagie tu hata unga tulambe tuwe mateja ili tusione haya madudu!
  3. U

    JamiiForums Tanzania Kesi ya kubambikiwa....

    Sawa hakimu na mtalaamu wa lugha lakini ungenilekebisha hizo pt badala ya kulalamika we alafu unaacha!Nyie ndio watanzania halisi,mti ukianguka na kuziba njia hamuotoi bali mnaanza kuuzunguka mpaka mnatengeneza njia nyingine!Nameless Girl kakujibu kisomi zaidi.Niliambiwa hivi wazee,kila mtu ni...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Sakata wafadhili wa UKIMWI kujiondoa: Wizi umezidi mama yangu Fatma wa TACAIDS na sio porojo

    Tatizo C.A.G na timu yake huwa waoakagua risti na balance sheet,lakini ukienda kilichonunuliwa ndio unakuta rim moja ya elfu arobaini!Hapo hati safi inatoka wapi?
  5. U

    JamiiForums Tanzania Sakata wafadhili wa UKIMWI kujiondoa: Wizi umezidi mama yangu Fatma wa TACAIDS na sio porojo

    Huwaga hawajibu hao,Rais J.Kikwete akiwa Uholanzi aliwaomba wafadhili awe anazikagua NGO wanazozipa fedha,kwahio fedha zinazokaguliwa ni zile zinazotole na serikali lakn za wafadhili kama kawa jenga jumba la kifahali,magari,maposho,fikia 5star hotel bili hela ya wafadhili.Huyo mtu wa tume kama...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Sakata wafadhili wa UKIMWI kujiondoa: Wizi umezidi mama yangu Fatma wa TACAIDS na sio porojo

    Nakala Tacaidd Nakala C.A.G Nakala Takukuru Nakala Tamisemi Nakala DED Kogwa Nakala DED Mpwapwa Nakala DED Bahi Nakala DED Chamwino Nakala Deloitte Tanzania Nakala Tunajali Dodoma Nakala Wabunge Ccm Nakala Wabunge Cdm Nakala Wabunge Cuf Nakala Wabunge Nccr Nakala Wabunge Tlp n'a Udp
  7. U

    JamiiForums Tanzania Kesi ya kubambikiwa....

    Asante,kuna mwanasheria aliniambia hivyohivyo nami niliwaza before hivyo,so nimepata pakuanzia!
  8. U

    JamiiForums Tanzania Hooodiiiii wajameni

    Jambo!
  9. U

    JamiiForums Tanzania Kesi ya kubambikiwa....

    We have everything,what i am asking here if we won the case,how can we sue him?Wengine wanasema nimpeleke idara ya kazi au niwaone haki za binadamu.So nahitaji na hapa GT nipate ushauri wenu.Asanteni!
  10. U

    JamiiForums Tanzania Hooodiiiii wajameni

    Sawa mjukuu wangu!
  11. U

    JamiiForums Tanzania Hooodiiiii wajameni

    Asande.
  12. U

    JamiiForums Tanzania Hooodiiiii wajameni

    Asante kamanda.
  13. U

    JamiiForums Tanzania Hooodiiiii wajameni

    Nashukuru mkuu!
  14. U

    JamiiForums Tanzania Kesi ya kubambikiwa....

    Swali namba moja,dogo alawekwa tu ndani bila kosa lolote. Swalinamba mbili,sehemu wanayofanyia biashara iliugua so tajiri yake akamwomba akusanye nguvu ili mwisho wa mwaka amlipe deni lake. Swali namba tatu,dogo aliishije?Tajiri yake alikuwa anampa hela ya kula jioni n'a nauli,kwasababu chai...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Kesi ya kubambikiwa....

    Mimi nina mdogo wangu ameshitakiwa kwa kesi ya wizi 2500000 n'a tajiri yake,kisha akasweka rumande kwa wiki mbili bila dhamana,baada ya hapo akapelekwa mahakamani pia akakosa dhamana kwahio akapelekwa segerea nako akakaa wiki mbili tena.Baada ya hapo sisi tukapata taarifa kuwa dogo yupo...
Back
Top Bottom