Recent content by UJENZI

  1. UJENZI

    JamiiForums Tanzania Karibu tukufanyie design ya nyumba yako (interior & exterior design, ramani za ujenzi n.k)

    Hapana Mimi Ni Mbunifu, Na Hazipo Mitandaoni Hizo Jaribu Kutafuta Na Ukizipata Basi Niumbue ila Huu Uzi Utasimama Kidogo Ili Nifanye Usajiri Kwanza
  2. UJENZI

    JamiiForums Tanzania Karibu tukufanyie design ya nyumba yako (interior & exterior design, ramani za ujenzi n.k)

    Mkuu Asante Sana Maana Ni Kweli Tumehitimu Vyuo Vikuu Ila Huu Utaratibu Hapana Sikuwa Naufahamu na Msema Kweli Ni Mpenzi Wa Mungu Na Ngoja Nifanye Usajiri Kisha Hii Thread Nitaiendeleza Asante
  3. UJENZI

    JamiiForums Tanzania Karibu tukufanyie design ya nyumba yako (interior & exterior design, ramani za ujenzi n.k)

    Hizi Ni Baadhi Ya Sample Za Ubunifu Wa Ndani
  4. UJENZI

    JamiiForums Tanzania Karibu tukufanyie design ya nyumba yako (interior & exterior design, ramani za ujenzi n.k)

    Tunakukaribisha Kwa Dhati Kuja Kwetu Tukufanyie Ubunifu Wa Nyumba Yako Kuanzia Ramani, Ubunifu Wa Muonekano Wa Nje Hadi Ndani Unaweza Kujiuliza Kwanini Uamue Sisi Tukufanyie Ubunifu? Jibu ni Kwamba Dunia Ya Sasa Hizi Imezungukwa Na Sayansi Na Teknoloji na Pia Nyumba Ni Mahala Ambapo Kila Mtu...
  5. UJENZI

    JamiiForums Tanzania Mbezi Kimara Interchange: Tanroads Mmetisha?

    Ni Kweli Pale Mbezi Mwisho Wanajenga Interchange na Mkandarasi ni Estim
Back
Top Bottom