Recent content by Ujenzi chanika

  1. U

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kujuzwa bei za rangi na gyspsum powder kwa sasa

    Ndicho ulichoona
  2. U

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kupunguza Makali ya Maisha kwa Watumishi wa Umma?

    Ukiwa na familia utaelewa mana ya ugumu wa maisha
  3. U

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kupunguza Makali ya Maisha kwa Watumishi wa Umma?

    Kuna mmoja leo kaja kunikopa elfu20 yaani amenifanya nikawaza sana huku hata mwezi ujaanza
  4. U

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kujuzwa bei za rangi na gyspsum powder kwa sasa

    Wewe anza tu hata ikipungua ni kidogo.
  5. U

    JamiiForums Tanzania Kinana awaka taasisi zinazojiendesha kwa kutumia Tozo kikaangoni zitafutwa zote

    Yasiwe maneno tu, kodi tulipe na mitaro iliyo mbele ya duka lako bado usafishe, Alafu kila mwezi kuna mtu anapitia eti elfu tano ya usafi na uspotoa unapelekwa jiji yaani kero tupu!
  6. U

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kujuzwa bei za rangi na gyspsum powder kwa sasa

    Hiyo moja sijuh ilitokea wap ni 35000
  7. U

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kujuzwa bei za rangi na gyspsum powder kwa sasa

    Ok Haitoshi, pamoja na madirisha ya chooni itapungua kidogo sana, kwa mana huwa wanaandika mita 30 lakini nyingi hazifiki mita 30 hasa za mbuu,
  8. U

    JamiiForums Tanzania Gharama za ujenzi TZS 13M

    Chochote utakachoanza ni sawa ila skim kwanza umalizie tiles
  9. U

    JamiiForums Tanzania Nahitaji fundi ujenzi mwenye weledi na makini

    Kama bado tuwasiliane, tofali mpaka site kwa 1000tu
  10. U

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kujuzwa bei za rangi na gyspsum powder kwa sasa

    120,000ngumu ya nje na ya mbuu 60,000 mita30 fundi yupo bei poa
  11. U

    JamiiForums Tanzania Nipeni kazi mimi ni fundi wa kujenga

    Upo wap
  12. U

    JamiiForums Tanzania Mlango wa mbao vs geti la chuma

    Ha ha haaaa kinasumbua sana
  13. U

    JamiiForums Tanzania Tsh Milioni 5 inaweza kujenga nyumba?

    Kama upo chanika njoo tufanye kazi kwa usimamizi imara na unahamia kabisa, Gharama za ujenzi huwa zinashuka au kupanda kutegemea na material utakayotaka kutumia, Kwa mfano kuna tofali za kupigwa na mkono na kuna tofali za mashine.
  14. U

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kujuzwa bei za rangi na gyspsum powder kwa sasa

    Lita 20 emulsion 35000, lita 20 silk 135000, lita 4 za mafuta 23000 na gypsum powder 35000andika, Karibu tukuhudumie kama ipo chanika usafiri ni bure mpaka site, Pia wapo mafundi wazuri na waaminifu!
Back
Top Bottom