Recent content by Uhurutzi

  1. U

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja cha makazi Mwanza

    Tulia wewe, wenye viwanja vyao waje.
  2. U

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja cha makazi Mwanza

    Ndugu wanajukwaa natafuta, kiwanja cha kununua mkoani Mwanza kama inavyosomeka hapo katika kichwa cha huu Uzi. Sifa: 400SQM, kiwe kimepimwa, kinafikika na barabara, hakina mgogoro wowote na pia hakipo Kisiwani. Bajeti yangu TZS. 500,000/=,pesa ipo mfuko wa shati NB:Sitaki tamaa na utapeli.
  3. U

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

    Samahani kwa kutopendezwa na neno kupotosha. Nisamehe bure. Nishapoa Ndugu, Wacha nisubiri fursa zingine labda haikuwa riziki yangu.
  4. U

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

    Sio kweli! Kwa siku za mwisho portal yao haikuweza kustahimili trafick ya watu waliokuwa wanaaply, hivyo tunaweza kusema portal yao ni weak. usipotoshe na kusema tatizo liko kwetu.
  5. U

    JamiiForums Tanzania Nchi gani hapa Afrika unatamani siku moja ufike?

    Tanzania hasa Zanzibar
  6. U

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

    Mkuu ulifanikiwa kutuma maombi yako? Maana mimi nimeamua niachane nayo kwani ilikataa kabisa kupokea maombi. Ila wangetufikiria kwa kuongeza muda na kuifanyia kazi website yao ikae poa ili kuwepo na fair competition katika hizi kazi na watakuwa wamesimamia haki sana kama kazi yao wanayofanya.
Back
Top Bottom