Recent content by uhurukusema

  1. U

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda apewe Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo

    Rais alishasema msimpangie. Wewe ni nani sasa. Acha kiherehere. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. U

    JamiiForums Tanzania Zitto adai itachukua miaka kumi kurudia hali ya uchumi tuliokuwa nayo mwaka 2015

    Wewe huna uwezo wa kujitathmini mwenyewe Uchumi wako na watu wanaokuzunguka mpaka data hizi.za kutunga na kuongezewa chumvi ili magufuli asikasirike ndo unazisubiri? Akili ya nzige kweli wewe. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. U

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro yakiri ubovu wa barabara kinyume na kauli ya RC Arusha

    Mimi najua kama kuna vitu watalii wanapenda ni pamoja na kupiga picha, kwa hiyo wale watalii watakuwa wamepiga picha nyingi sana ya mazingira ya barabara na tayari wamezituma kwenye nchi zao. Sioni sababu ya sisi watanzania kutafuta sababu ya kumuonea mtu kiasi hicho. Sent using Jamii Forums...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Lema amjibu RPC wa Arusha, amwambia asimfundishe kazi yuko huru kusema chochote kinachowakabiri wananchi hata nyumbani kwake anaweza kwenda kusemea

    Hakuna mtu mbaya kama anayejifanya/kujiita mzalendo. Juzi tumeona kwa kangi Lugola, anaejiita mzalendo ndiye muhujumu mkubwa wa uchumi Sent using Jamii Forums mobile app
  5. U

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli yuko sahihi kabisa baada ya muda tutakuwa kama Ethiopia

    Wewe ni andazi kweli yaani unajitoa ufahamu kuwa waithopia Uchumi wao ni wa vitu na wala sio Uchumi wa watu? Jiulize kama Uchumi wao ni mzuri kwa nini wanaongoza afrika mashariki na kati kwa kuhama nchi yao na kutafuta maisha nchi za nje tena kwa kupitia njia hatari? Wewe bongo priton Sent...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Lumumba, Dar: Mzee Kinana na Mzee Makamba waitikia wito Kamati ya Maadili ya CCM

    Maendeleo hayana vyama kwani walikuwa chama gani tofahuti na ccm? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. U

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye arejea CCM, alijiengua CHADEMA baada ya kuambiwa na Mbowe 'Sumu haionjwi kwa kuilamba'

    Mission ya kuiuwa chadema imebuma. Amerudi makao makuu atapewa kazi nyingine. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. U

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Musoma Dr Vincent Naano awashikilia walimu watatu na wafanyakazi watatu wa Idara ya Maji masaa 48 kwa kosa la kupakia mshikaki

    DC hana kinga ya kuzuia asishtakiwe kama katika kutekeleza wajibu wake akavunja sheria anapaswa kuwajibika kisheria kama na ninyi mlivyowajibika kisheria. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. U

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Musoma Dr Vincent Naano awashikilia walimu watatu na wafanyakazi watatu wa Idara ya Maji masaa 48 kwa kosa la kupakia mshikaki

    Adhabu zimeainishwa kisheria kama mtu hajakutendea haki akakupa adhabu iliyozidi ile iliyowekwa kisheria unayo haki kulalamika sio kukaa kama kondoo et usiitafakari kwa sababu imetolewa na mkuu wa wilaya. Inatakiwa awe wa kwanza kuitii sheria na kuitenda sio kuivunja. Sent using Jamii Forums...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Mauaji Moshi: RC Mghwira asema utaratibu wa kukanyaga mafuta uliandaliwa vizuri ila vibaka walivamia kutokea nje na kusababisha maafa

    Asante Mungu kwa kutupa picha halisi ya chanzo cha tatizo. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. U

    JamiiForums Tanzania Nimesadiki maneno ya Dk. William M.Tanzania wa USA America

    Tujiulize je wale wanaokufa kwa kukanyagana kule makka kila wanapoenda hija Ni ibada ya shetani? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. U

    JamiiForums Tanzania Moshi: Watu 20 wapoteza maisha kwa kukanyagana kwenye Ibada ya Mwamposa; Polisi wathibitisha kumshikilia

    Sasa mnalaumu nini mbona kila mwaka waislamu wanakanyagana huko makka kwa kumpiga shetani mawe matokeo yake wanakufa kwa mamia na bado wanaenda huko kila mwaka? Imani ni kitu huwezi zuia ila kinachotakiwa Ni kuwepo utaratibu mzuri utakaosimamiwa na vyombo vya usalama wakati wa ibada kama hiyo...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Joram Kiango Vs Willy Gamba: Watu wa kufikirika waliotamba kama watu halisi

    Kikosi cha kisasi! Namkumbuka wally chitalu/Marko mabawa,petit ozzu alafi nakumbuka garage ya baninga namuona mrembo huyo anaitwa Tete! Kaaz kwelkwel Sent using Jamii Forums mobile app
  14. U

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu Waislam kufundisha karate Misikitini lina maana gani hili

    Huo ndiyo dini yetu inavyosema.tunajiandaa ili kumpigania Allah subuana Sent using Jamii Forums mobile app
  15. U

    JamiiForums Tanzania Diplomasia imevunjwa: Kuzuia RC Makonda kwenda U.S.A ni kosa la kidiplomasia. Walipaswa kufunga ubalozi wao kwanza. Tutarajie tamko la Rais au Kabudi

    Wewe endelea kujinyea hapo. Unaonekana hujui umuhimu wa marekani kwa maendeleo ya nchi yetu Tanzania. Na inaonekana hauna fikra pana una akili ya kukwepa usigongwe na toyo. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom