Msimamo wa kanisa ni serekali 3.
Leo hii Mh Pengo anataka serekali 2.
Hii ni wazi inawezekana Katiba ikakwama kupata theluthi inayotakiwa na kutumika ile ile ya 1977.
Inaamana kwamba kazi yote iliofanywa ni bure
GAZETI LA HABARI LEO
<p>MUUNDO wa serikali tatu uliomo ndani ya Rasimu ya Katiba...
Naibu katibu Mkuu wa Zanzibar amesema CCM haiko tayari na mfumo wa serekali 3. Amesema hayo Makunduchi jana.swali: kwanini baadhi ya CCM Zanzibar haitaki serekali 3? wao wanaathirika na nini?Jee 61% ya waliotoa maoni. CCM hawamo?
hata zitto na arfi wanapigwa vita ndani ya chadema kwa sababu ni waislam tu. WANGALIKUWA WAKIRISTO unadhani makanisa yangalikuwa yafanya vikao vya siri kuwaunganisha. Wakiristo wamejiapanga kila kona
Tv imaan yapata kibali rasmi. Tv hii inaendeshwa na islamic foundation.
Licha ya islamic foundation kumiliki tv. Pia ina redio na shule za sekondari.lakini inamiliki zahanti nyingi hapa nchini zinazosaidia waislam na wasiokuwa waislam
pia ni taasisi iliokaribu sana na chuo kikuu cha waislam...
Imekuja elimu kudiriki baadhi ya mambo yaliyokatazwa na sheria ya Kiislamu iliyohifadhiwa na wafuasi wake karne kwa karne kabla ya kugunduliwa kwa darubini na kwa mpangilio huo huo : Mzoga ambao bakteria hukua ndani yake, damu ambayo bakteria hukua ndani yake kwa kasi kubwa zaidi, hasa ikiwa ni...
CHUO Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kimehadharisha walaji wa nyama ya nguruwe nchini, kuwa wanakabiliwa na hatari ya kupata kifafa.
Utafiti wa kisayansi uliofanywa na SUA, umebaini kuwa baadhi ya nguruwe wana minyoo aina ya tegu ambao nyama yao ikiliwa bila kuiva vizuri, mlaji atapata...
Hapa kwetu Tanzania mbona hawataki waislam kujiunga na OIC au mahakama ya kadhi huku wao wakiwa na vatikan?
Kama kweli uko moyoni, mbona MOU hawavunji mkataba?
Mbona hawaikemei NECTA?
Hpa kwetu sidhani kama ni wa kweli.
huko ulaya mbona wapo kimya kuhusu Marekani na israel wanavyofanya duniani?
Hamad Rashid.
Tambwe hizza.
Salum Msabah
Mapalala (Mwenyekiti muanzilishi)
WOTE HAPO JUU WAMETOWEKA KISIASA.MAALIM SEIF KWELI NI MWANASIASA MKOMAVU NA ANAJUA KUENDESHA SIASA.
Kama Mh Zitto angalikuwa ndani ya CUF, zamani angalikuwa historia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.