Recent content by ugangalaa

  1. U

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa watu wote walioajiriwa

    Somo zuriii
  2. U

    JamiiForums Tanzania Nahitaji supplier wa vifaa vya Ujenzi na Hardware

    Shukrand Mkuu Deep Pond kwa elimu.
  3. U

    JamiiForums Tanzania Umri wa miaka ' 50 ' ni umri sahihi wa ukomavu wa kiakili na kihisia

    Ubarikiwa mtoa madam kwa bandiko zuri
  4. U

    JamiiForums Tanzania Kosa wanalofanya watu wengi ni kuitupa fimbo iliyowasaidia walipokuwa Vipofu.

    Hongera na barikiwa sn Mtibeli kwa bandiko zuri lenye kujenga ubongo.
  5. U

    JamiiForums Tanzania KERO Kuna kero ya ubovu wa barabara kipande cha Mbande Kisewe, Wananchi tunateseka sana kipindi hiki cha mvua

    Umeongea jambo kubwa sn mtoa mara, iyo njia ni shida...km 3 zimekuwa adhabu kwa wakazi wanao kwenda Chanika kupitia hiyo barabara, huwenda wahusika wakachukua hatua katika hili...Mola awaongoze
  6. U

    JamiiForums Tanzania Ukitambua kifo jua umetambua maisha

    Ubarikiwe mtoa mara kwa ukumbusho
  7. U

    JamiiForums Tanzania Namna ya kununua shamba

    Fanya utafiti mzuri kwa kutafuta watu wa karibu wa hayo maeneo wakupe infor ya kutosha, mkoa wa pwani utoe kwenye orodha ya kupata shamba, mipango miji inaonesha hayo maeneo ni viwanja vilivyo changamka miaka michache ijayo...hivyo huwenda msamiati wa bei nafuu usifanye kazi sn hapo. Kila la...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Kwa dunia ya sasa gari sio mafanikio sema serikali yetu imefanya kuweka ushuru mkubwa na barabara za siasa

    Ngoja wachambuzi waje kunogesha hili, usafiri wa umma hapa Dsm changamoto sn ..tunapambana kibishi tu. Kumiliki usafiri Tz ni ngumu kuliko nyumba pia tukiwaona wenye magari brbrn hata no A tuwape maua yao mana siyo jambo jepesi
  9. U

    JamiiForums Tanzania TRA mfumo wenu mpya wa leseni kimtandao unafanya kazi kuwa ngumu badala ya kurahisisha

    Mkuu huu utaratibu wa kurudi chuo u some Tena hiyo kozi ya udereva hata kwa mtu mwenye leseni ndogo ya kuendesha gari binafsi? ambayo leseni ya 1 alikuwa nayo na imeisha muda wake anahitaji kurenew? Elimu tafadhari juu ya hili.
  10. U

    JamiiForums Tanzania Mabosi waeleza kwanini wanawafukuza kazi Gen Z miezi michache baada ya kuajiriwa. Gen Z chukua notes

    Bandiko zuri kiongozi ila ingepatikana na njia ya kuwasaidia. .
Back
Top Bottom