Recent content by ugalila

  1. U

    Nimegundua ni ujinga kuwarudia wanawake waliokuumiza utotoni

    hahahahahahah we nenda tu kwani si genye zako...
  2. U

    Nimegundua ni ujinga kuwarudia wanawake waliokuumiza utotoni

    na pia k ni zilezile kuna ulimbukeni wa kijinga sana, hizi mambo watu wanaoelewa wananyamaza kimya wanawachora watu wengne wanavyopiga kelele sijui nimetumia karibu laki kwa demu hata sijala mzigo wakati hiyo hela angeenda kwa huyo malaya angepata huduma nzuri na chenji ya kutosha
  3. U

    Nimegundua ni ujinga kuwarudia wanawake waliokuumiza utotoni

    nami nilikuwaa nawaza hhivyohivyo maana inauma sana pale unapomkosa mtoto mzuri kisa ukapuku, ila baada ya kutimiza hitaji la moyo wangu nimeachana na hizo mambo
  4. U

    Nimegundua ni ujinga kuwarudia wanawake waliokuumiza utotoni

    umeona sehemu mtu anijisifia????
  5. U

    Nimegundua ni ujinga kuwarudia wanawake waliokuumiza utotoni

    hahahahahah hii ni kitu ya kawaida kwa wadada walio choka na maisha ndo maana yahitaji tuwe nao kwa akili
  6. U

    Nimegundua ni ujinga kuwarudia wanawake waliokuumiza utotoni

    we hujawahi kukutana na mademu waliopinda wanapiga kelele kukuitia watu halafu anasema yeye ni kahaba umemnunua hujamlipa chake,
  7. U

    Nimegundua ni ujinga kuwarudia wanawake waliokuumiza utotoni

    kwa kweli maana na uchumi huu wa ngosha nitafilisika kabisa
  8. U

    Nimegundua ni ujinga kuwarudia wanawake waliokuumiza utotoni

    hao nimeona ni bora kuwapotezea tu, kuanza kusema ni kuwagegenda uwakomoe unapoteza ww mkuu, bora kuwafungia vioo tu mkuu
  9. U

    Nimegundua ni ujinga kuwarudia wanawake waliokuumiza utotoni

    umesema kweli mkuu, huwa siwezi kusahau baya lolote nililotendewa ila kwa sasa nimemrudia mungu naomba anipe neema ya kusamehe na kusahau kabisa
  10. U

    Nimegundua ni ujinga kuwarudia wanawake waliokuumiza utotoni

    pesa mwanaharamu mkuu, mwingine anafikiri unataka kuwa na future naye kumbe bado akili yako inataka utafune usepe ndo uridhike
  11. U

    Nimegundua ni ujinga kuwarudia wanawake waliokuumiza utotoni

    hahahahah usinikumbushie ila kila mmoja alikuwa na pricetag yake siunajua lazima uangalie na mzigo wenyewe mkuu
  12. U

    Nimegundua ni ujinga kuwarudia wanawake waliokuumiza utotoni

    Haya maisha hayana fomula aisee. Nakumbuka enzi za ujana wangu nilikuwa natoka katika familia masikini kiasi kwamba maisha yalikuwa ya tabu sana hata wanawake warembo wakawa wananipitia mbali, kwani kila nikirusha ndoano napigwa bonge la radi. Mwingine anaweza akanikubalia ila sasa zile gharama...
  13. U

    Hivi wanawake huwa mnakumbwa na nini?

    kujiongeza muhimu mkuu, usijebebeshwa mzigo usio wako usijue wapi pakuutua
  14. U

    Kizunguzungu cha Kisiasa Kinapokuingia na ukiwa Unatafuta Kick

    Huyu bado anaigiza si unajua ni mkereketwa kwenye tasnia ile ya maigizo tutaona mengi, ebu tuache mda uongee wenyewe
  15. U

    Maelezo kutoka kwa Katibu Mkuu Utumishi

    Hii hata mi imenichekesha sanA, ila ndo tunaelekea tanzania ya viwanda
Back
Top Bottom