Habari za leo wakuu! Maxmalipo wameanzisha application yao inayoitwa Smartmalipo application ambayo unaweza ku-install na kufanya registration kuwa wakala wa maxmalipo kupitia hiyo application ya Smartmalipo. Swali langu ni, commisions nazipataje ninapotoa huduma zipatikanazo kwenye smartmalipo...
Vile vile mnaweza kwenda kuomba ajira za kufundisha katika shule za kata ambapo mkuu wa shule anawaajiri kwa mkataba wa muda na malipo ni mazuri tu wanalipa kuanzia Tsh 80,000/= hadi Tsh 150,0000/= kwa mwezi. Hili litakusaidia kujenga uzoefu kazini. Ila ukijiona wewe una elimu kubwa huwezi...
Walimu unganeni mtafute kiwanja then muende bank kuchukua mkopo mfungue shule yenu na mpigishe kitabu watoto wetu. Hilo ni wazo langu na ninatumaini mkilifanyia kazi mtafanikiwa katika maisha na kuacha kuililia serikali isiyokuwa sikivu kwa watu wake!!!
Saadyy umesema kitu cha kweli kwani kukaa chuoni na kukomaa na kitabu peke yake huondoa uwezo wa utendaji kazi na ufikirivu! Hii inawalenga wale wanaokaa on campus, na kwa wale wakaao off campus wana nafasi kubwa ya kufanya mambo mengine ya uzalishaji mali.
Mfano kama mwanafunzi unasoma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.