Recent content by Ugali Saucer

  1. U

    FORD Mustang launch KENYA

    kwa hivyo wakinunua Benz au Bimmer itakuwa hatia? tafakari maneno ulioandika ili uone mapungufu kwenye ubongo wako
  2. U

    FORD Mustang launch KENYA

    hehe sasa njoki chege amepata kitoweo, watu wa Mustang hawatapumua
  3. U

    FORD Mustang launch KENYA

    so ulitaka kila mkenya awe na Ford Mustang???
  4. U

    Wakenya huzungumza Lugha ipi kwa ufasaha??

    masomo kidogo ni muhimu ndugu watu wanaongelea lugha wewe umekuja na ubishi mwingi eti wezi, nyang'au blablabla....atleast unge fake ubongo wako kidogo angalau uonekane kama mtu aliyekanyanga ndani ya darasa; lakini wewe umeweka ujinga wako wazi watu wauone
  5. U

    Transport infrastructure in Kenya

    wewe unatia huruma sana....eti wanavyojidai? kwani wewe huna macho kuona projects on the ground? yaani baada ya kupitia huu uzi wote kurasa 22 hii picha yako ndio conclusion yako? hii group yenyu ya vilaza inatia aibu sana, tafathali wacha kuwapa waTZ a bad name, wale ambao nawajua na kuwafahamu...
  6. U

    Kampuni ya Kenya yaingia DRC kwa kishindo, na pia yapania Ethiopia

    Boss! hamna jipya unalosema, uzi kuhusu Tz kukosa national anthem ulikuwa hapa; historia ya wimbo huo iliwekwa hapa na ikawa wazi kuwa nyie mlichapa photocopy tu .....alafu jiulize mbona hao wengine waka abandon??? Anyway back to the agenda; jambo linalo nikera ni kwamba kila wakati mkibanwa...
  7. U

    Kampuni ya Kenya yaingia DRC kwa kishindo, na pia yapania Ethiopia

    bwege wewe hauelewi unachosema, ni anthem ngapi duniani umeskia zinafana isipokuwa hiyo yenyu mlio copy toka SA. sitaki kujua kama iliandikwa na foreigners, taja ngapi umeskia. pthuuu!!!
  8. U

    Kampuni ya Kenya yaingia DRC kwa kishindo, na pia yapania Ethiopia

    aii jameni...wimbo mnaojua tu ni mahindi na Alshabab..... ndo maana hata National Anthem hamna ile ambayo mnayo ni ya kuagiza kwa mkopo kutoka SA.
  9. U

    SGR ndiyo project ya kwanza Black Kenya!

    hahaha...Let me simplify for you in English: YOU HAVE BEEN SUCKER PUNCHED!
  10. U

    SGR ndiyo project ya kwanza Black Kenya!

    hahaha Boss! ukichengwa tulia....wewe ulikuja hapa na matusi na mbwembwe sasa unapata ma knock-out tu...jamaa anauliza swali lakini wewe unatapa tapa tu bila kujibu. Jay456watt big up you've gone Moses Kuria on this guy
  11. U

    Wimbo wa taifa wa Kenya rio: folks shows love

    oh my...i've played it again and again and it still sounds as beautiful as when we were in nursery.....so epic
  12. U

    SGR ndiyo project ya kwanza Black Kenya!

    kama ni data tu alitaka, si angeuliza tu angepewa.... hamna haja ya kutumia njia ndefu. lakini sasa angalau umeona ule ujinga ambao tunaopinzani kila kuchao
  13. U

    East Africa's Capital, Nairobi City : photo gallery

    Those Subarus in the Kiambu Ring...damn! they look awesome....mimi hii Toyota yangu nauza niingie Team Subaru sasa
  14. U

    East Africa's Capital, Nairobi City : photo gallery

    very very true .... and there are so many new trendy places coming up hata nashindwa ku catch up. what with the new building projects complete akina Hass, Greenfield na Infrastruture like Uhuru highway, Ngong road, outer ring...... mmmhhh it will finally be cast in stone NAIROBI IS KING OF EAST...
  15. U

    Waziri mkuu Japan na marais 20 kuja Kenya kwa vikao muhimu

    good one....hehe ati tutaisoma namba. mi nangoja tu kuisoma na vile mambo yanaendelea, naona wajukuu wetu hiyo namba wataingoja kuisoma pia. Where Tz is right now (economically, politically, socially) is where Kenya was 15 yrs ago.
Back
Top Bottom