Wewe ni nani? Ni Nini
Mama Tanzania
We ni wapi ni yupi
Maji na bahari,maji baridi
Kwenu ni wapi asili ni ipi
Iwe karibu nyumbani
Kilimanjaro,Dunia juu zaidi
Watoto wako ni wapi
Wavivu? Walegevu?
Wenye fikra?wasubirivu?
Mbaya wako ni yupi?
Kwa Baba mtoto hukua?
Wanaume.ni wapi? Ushajaa ni upi...
wakati wa usiku usingizi mazito uwajiapo wanadamu.Mungu hunena na sio mara moja.lakini watu hawayatilii maanani yaliyosemwa naye.
Nirudie Mungu anasema kila siku na kila anaitwa mwananadamu.Ukipuuza Sasa ukiwa na pumzi puani. Utaelewa kwa lazima ukiwa haupo tena katika mwili.Ni lazima uone...
Ulimwengu! Umeacha wanadamu wenye macho hafifu ya ndani waendelea kuishi uhalisia badala ya ukweli!
Hivyo maisha yamekuwa ni kama bahati nasibu!aliyesifika Leo kwa kutafuta heshima Mali na fedha ndiye anayetajiwa kesho kuwa marehemu! Yaani baada ya juhudi zote muda unabakia kuwa mwamuzi wa nani...

Maneno haya niliyasikia kutoka kiongozi mmoja wa Dini! Yalinifikirisha!yanipa uzito katika moyo!Yakaniachia kazi ambayo mpaka Sasa natumika nayo!
Nawaza ni kweli watanzania ni wavivu?
Je kigezo kipi kimetumika kupimwa uvivu huu?
Mbona umetajwa ka ujumla na kwa urahisi?
Nawaza kwa habari ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.