Asee hao jamaa hawapendwi na Hawa wakristo was madhehebu mengine Ila wapo smart balaa na Wala hawanaga shobo na mtu
Mm Kuna kipindi walikua wananitembelea tunaongea mengi Sana na nikajifunza maandiko kwa kina mno
Ukiwasikiliza hakuna mtu atakudanganya chochote coz kla unachowauliza wanakupa...
Tatizo siyo kupata matokeo tatizo umepata vipi hayo matokeo
Simba kapata matokeo mbele ya refa wenu na hakua na la kufanya, mpira mkubwa utafkiri ni Barcelona wapo uwanjani.
Hatuna jumba jeupe isitoshe udhalilishaji wa mpanzu ile haikubaliki kwa mujibu aa sheria za FIFA
Nashauri akahojiwe na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.