Recent content by Udnov

  1. U

    Breaking newz from heslb (majina mengine yatoka tena)

    naomba nam mnichekie jaman s0449.0114.2009 na s3623.0004.2009
  2. U

    Breaking newz from heslb (majina mengine yatoka tena)

    ba ndugu hv unaangaliaje mbona inangomea, nachagua pale aina ya mtahniwa ambayo ni s nkija kuingiza no naambkwa invalid no lakn cjakosda chochote tusaidiane jaman
  3. U

    Dr. Slaa: Uchaguzi CHADEMA utafanyika baada kuwa na chama imara

    mkuu ukitumwa kiongoz kwel utaemda kuchukua dr. Slaa mbona utamshangaza hata alokwagiza, m2 hana hata self determination. NGO's nyingne znajaz kwel kwel hasa hii Chadema
  4. U

    Naipenda CCM na nitaipenda Daima kwa sababu...

    Mkuu hadi kuandika hii thread jua ninaakili tena sidhan kama zinalingana na za kwako make ungekua nazo ungejena hoja na si kukashif, na naomba nikujuze tu m sipo ccm chama bora kwa ajili ya buku 7 nipo huko kuwatetea wanyonge kwan ccm n chama chenye sera bora si vyama vinavyo jenga chuki na...
  5. U

    Wassira: Hoja za kukataa muswada zipelekwe kwa Rais (wapinzani waache kupayuka)

    mi ni mwana ccm ila wassira nakuona kama mropokaji na nyie ndo mnatuharibia chama, huo upuuzi mmepitisha nyie unadhan kama vyama vya upinzani visinge piga kelele rais si angeusain hvo hvo na ubovu wake nlitddgemea ungeweka masilai ya nchi mbele na kuwapongeza wapinzani
  6. U

    Naipenda CCM na nitaipenda Daima kwa sababu...

    Kama kuna kitu ambacho ningependa kuwashauri watanzania wenzangu ni kuendelea kuamini kuwa CCM ndo chama pekee chenye uwezo wa kuiongoza nchi hii msije mkajidanganya hata siku moja kuwapa wahuni wa vyama vingine kuongoza nchi najua haiwezi tokea ila tu ni tahadhari kwa wanaohisi kua Chadema...
  7. U

    Mtazamo wangu

    Ujue kuna viongoz wanaingiza pesa kutokana na biashara hyo haram na wana jenga mijumba na kumiliki vitu mbal mbal vya gharana dat y m naona ihalalishi ili walipe kodi ztakzo saidia watanzania wote na c 2 viongoz wanaochukua mapato kisiri
  8. U

    Mtazamo wangu

    Mkuu hebu tafuta sheri a ya mwongozo wa makosa ya jinai kifumgu cha 145 na 146 utajua, pia najua wa2 wanafanya kwa kuibia ila 2 nataka sheria iruhusu kwan hcho k2 hakizuilik mkuu
  9. U

    Mtazamo wangu

    Wakuu huu n mtazamo tu, make pia katiba inaniruhusu. Nionavyo mimi biashara ya ngono ingehalalishwa tu ila kukawa na sehem maalum ambapo watu wanaofanya hyo biashara watakaa na kufanya biashara yao na walipe kodi serikalini m najua kuzuia hii kitu haiwezekan. Naomba kuwasilisha
  10. U

    Hii ni kwa kina dada tu

    Nmegundua k2, kumbe hakuna kaz kwa xaxa kumpata mwanamke mwenye natural beut make kama 2 hakuna mwenye natural hair hii babu kubwa
  11. U

    Nape Amponda Mbatia Kwa Kusahau Alizawadia Ubunge

    :yell:huyo ndo NAPE wa Lumumba
  12. U

    Udom madudu....udom madudu........!!!

    Hayo matokeo wameweka wap kwanza wdngne mbona 2nafungua ac zetu hakuna hata xomo 1
  13. U

    Udom kuna nn?

    Mana mana 2mechoka sasa, bongo ukijifanya ww unajua xana kutumia diplomasia ktk kudai hak itakula kwako, utakaa had 100yrz hujaipata hyo haki, kikubwa n kuingia barabaran
  14. U

    Udom kuna nn?

    Huelew kwa 7b akil yako ndo ulivoitune heb iache ikuongoze then utaona kama hutoelewa
  15. U

    Udom kuna nn?

    Habar zenu wanajamvi, k ukwel leo nmeamua kufunguka hakuna k2 knachonkera kama utawala wa udom, watu tunaenda kufungua chuo hatujui hata matokeo we2 yamekaa vp zaid zaid 2napandishiana 2 michango ili viongoz wazid kuneemeka hii haikubalik kwa msomi yeyote kama vp kikanuke 2. Mawasilisha hoja
Back
Top Bottom