Recent content by uclan

  1. U

    Tanzania yatupilIa mbali madai ya Kenya kuhusu Amina Mohammed, yasema ilimuunga mkono kugombea AU

    Jamani. Nilisoma wenzetu wa nchi jirani waliweza over $3 miloni kwenye kampeni. Nadhani kilio ni hizi milioni 3 usd na sio nani kapiga kura dhidi ya mgombea huyu. Investment hii imekuwa hasara kubwa kwa taifa. Again, 3 m usd kwa ajili gani? Ni vyema tukaangalia kililengwa kitu gani kwa hili...
  2. U

    Tahadhari ya utapeli kuunganishwa dstv au Bein

    Napenda kuwatahadharisha watanzania wote popte walipo. kuna tangazo kupatana linalodai kuunganishwa na dstv na Bein kwa kutumia ving'amuzi vya zuku, azam, continental. Bei ni shs 40,000 tu. Usidhubutu. Binafsi nimeliwa. Tahadhari hii ni kwako lisije kukuta. namba yake ni 0658644118. Anasomeka...
  3. U

    Mwanangu kaniuliza maswali haya, nimeshindwa kuyajibu

    I have a question: Why must you always urinate when you poop? What is the physiological reason? Dr. Adams says: This is an interesting question. There are many muscles (both voluntary and involuntary) that are involved in helping one to both urinate and pass stool. These muscles have dual...
  4. U

    Uendeshaji wa TAZARA sasa wakabidhiwa kwa Mchina

    Siamini kuwa nchi hizi zikishindwa kabisa kuendesha TAZARA. Naamini kilichopelekea TAZARA kuyumba ni nguvu zilizotumika kudivert mizigo toka usafiri wa reli kwenda kwenye malori. Hili ndilo liliathiri reli ya kati. Na kumbuka nguvu hizo zilitakuwa zilifaidika na utashi wa maafisa serikali...
  5. U

    Waislam wa Tanzania na tatizo la udini katika Wizara ya Elimu

    Wamezawadiwa majengo pale morogoro kuweza kuanzisha university. Nani kati yao anapataka. Wanapakimbia. Kinakufa.
  6. U

    Ndege wa Musium Zoloog Helsinki - Finland anaswa na wavuvi Kisiwani Ukerewe

    Jambo. Email yako au namba ya simu tafadhali nikuunganishe na wahusika. Wasiliana nami kwa riziki22@gmail.com. Asante
  7. U

    Kulinda kura 25 Oktoba, 2015

    Jimbo la Hanang wameonyesha good mfano
  8. U

    GE2015 Dr. John Pombe Magufuli anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania

    It is interesting that he is envisioned to experiment politics!
  9. U

    Mgombea Urais wa CHADEMA, Edward Lowassa kutoshiriki mdahalo wa Oktoba 18, 2015

    Kwa njia ya kampeni wapiga kura wanafikiwa huko waliko. Mdahalo ni mwendelezo wa opion poll za Twaweza. Worse ni hiyo chanel ya tv ambayo tayari imejitabanaisha na ccm. Ukawa they should not waste their time kwa mdahalo given the fact that mpiga kura tayari alishafanya maamuzi. Sasa ni...
  10. U

    Hai Mpoooooo?

    Haitakua Hai
  11. U

    Chopa ya Livingstone Lusinde yapata hitilafu, yashindwa kuruka

    Ilipoanguka aliyokuwa akitumia mh Nasari. Marufuku ilitolewa na tahadhari na mamlaka za anga kuwa ni sharti ziwe na certificate za usalama wake. Wenzetu tukawaona watoa tahadhari ni majuha. Kwa hali inayojitokea we have to wait to see hatua zitakazochukuliwa na government na taasisi husika...
  12. U

    Msukuma wa Geita azomewa

    Malofa are conveying their message. Mind you, this is the only platform that they have. This is the only opportunity for them to exploit as kura rigings is likely in the forthcoming election.
  13. U

    NEC: Idadi ya Wapiga Kura bara ni 22,751,292 na Zanzibar ni 503,193

    Tumeona wiki hii wazito na waalikwa ktk mdahalo ulioandaliwa na mfuko wa mwl. Walikuwa nje ya kuadhimisha miaka 14 tangu kuaga dunia. Walikwepesha kwa makusudi eti kwa kisingizio cha amani. Leo siku ya kuadhimisha amani hiyo hiyo inatushwa. Kwa wadhifa na mamlaka amri maalum kwa uchaguzi...
  14. U

    Ushiriki wa Dk. Wilbrod Slaa kwenye chama cha ACT-Wazalendo

    Limbwata usisikie. Linaweza kuwa kipande cha mnofu kilichokaa na kutunzwa kwenye uke kwa masaa ya kutosha. Ukikila. Ukeishaaa
Back
Top Bottom