Recent content by Uchumikati

  1. U

    Mnaotetea Chalamila ripoti za CAG huwa hamzioni? Rais Samia usipomtumbua umebariki unyama huo kuendelea

    Kauli ya kipu.mbav kabisa kwa kiongozi kama yeye. Angeweza kuiweka vizuri ila sio kwa kusema wakakatwe visu na waume zao
  2. U

    Uteuzi wa Albert Chalamila upitiwe upya, ufafanuzi wake hauna mantiki

    Huyu jamaa ni kiazi sana sijui huwa anabahati gani ya kuendelea kuwepo. Si mchapakazi,si mbunifu,mropokaji, hajui cha kufanya hasa kwa jiji kubwa kama hili
  3. U

    KERO Changamoto utoaji huduma Safi Shule ya Makabe

    Hii post sio kwa ajili ya wewe kutoa ushauri,bali ni ili wahusika ujumbe uwafikie. You sound more like a thoughtless moron kukomaa kuchangia uzi usiokuhusu
  4. U

    KERO Changamoto utoaji huduma Safi Shule ya Makabe

    Hivi mada mnaielewa lakini au mnaandika kuonekana mnajimudu. Mimi nasomesha watoto shule 3 tofauti na wote nimewalipia laki 5 kila mmoja January hii ila hao wengine wawili shule zao hazijanifanyia ujinga na ndio maana nimeleta uzi hapa sababu pia kwenye group la shule la WhatsApp wengi ni...
  5. U

    Ushauri: Niende Serikalini au nibaki private sector

    Kwanini usifanye kazi zote mbili sababu wewe ni 2in1 Anyway sijawahi fanya kazi serikalini na suitokuja kufanya japo niliwahi pata nafasi ya kwenda kufundisha DIT nikaamua kubaki zangu private sector
  6. U

    KERO Changamoto utoaji huduma Safi Shule ya Makabe

    Kuna mahali nimesema sijalipa ada? Laki 5 ni ndogo kwa mtoto kusoma wiki mbili hadi mwisho wa mwezi? Hata kama ni Biashara inategemea unaendeshaje...na mteja ndie anaefanya biashara iende...kama unadhani wazazi wakiamua wanashindwa ulizia kuna shule inaitwa Aureke kilichowakutaga hadi leo...
  7. U

    KERO Changamoto utoaji huduma Safi Shule ya Makabe

    Labda wanafanya hivyo ili watoto wanaoungaunga wafeli
  8. U

    KERO Changamoto utoaji huduma Safi Shule ya Makabe

    Sawa mwalimu mkuu wa Safi School.. asante kwa ushauri
  9. U

    KERO Changamoto utoaji huduma Safi Shule ya Makabe

    Soma uzi uelewe usikurupuke kucomment..kila kitu nimeeleza
  10. U

    KERO Changamoto utoaji huduma Safi Shule ya Makabe

    Soma uzi uelewe vizuri, unadhani kwanini nimeleta uzi hapa?
  11. U

    KERO Changamoto utoaji huduma Safi Shule ya Makabe

    Hii shule ya Safi (Safi School) iliyopo makabe imekua shule ya hovyo sana kwa sasa kwenye utoaji huduma. Kwanza nikiri kilichonisukuma kuleta huu uzi ni upuuzi wao waliotufanyia wazazi hii January kutopokea watoto ambao hawajalipa ada yote. Hapa ndio wametukera wazazi, hivi kweli mzazi unalipa...
  12. U

    Nilisema BOT hawana uwezo wa kupambana na ma sharks wa mikopo ya mitandaoni. Riba bado ziko juu, usumbufu upo vilevile

    Hawa BOT ni wa ajabu kabisa na ni kama mbwa asiyeng'ata. Kila siku napokea mameseji kutoka kwa hivi vikampuni eti nimewadhamini watu wakati hata sina mazoea nao. Yaani kwa siku napokea SMS zaidi ya 100 halafu namba tofautitofauti hadi ishakua kero. Sijui mara zimacash, mara Swift funds,mara...
  13. U

    Mkuu wa chuo DIT unatambua huu unyanyasaji?

    Hakuna mtu atafanya kazi miezi 6 bila kulipwa akaekimya aone kawaida,ndio maana nasema hiyo hali usiifanye ionekane ya kawaida. Vyuo vingine hakuna unyanyaji wa kijinga kama wa DIT
Back
Top Bottom