Nashauri tu wanachama,wapenzi na wafuasi wake na chama chake wangejiandaa kisaikolojia kwa kile kitakachoendelea na kuamliwa huko mbele,kesi sio ngumu ila kilichokusudiwa ndo kigumu.
nchi ikiwa na ulojo kama huyu aliyeandika wawili tu ni mzigo sana.
Sawa tunashukuru kwa uzi wako nenda kamuone mhasibu upewe kutwa yako ila jitahidi uende na 3,000 akupe 10,000 chenji zinasumbua.
nyuma ya malawi nadhani kuna wachocheaji wahuu mgogoro,ni vizuri kukaa mezani kuliko tunavyoona vita ndio suruhisho maana tunaweza amini tunapigana na malawi kumbe tunapgana na nchi kubwa tukaishia kupoteza rasilimali watu,fedha n.k.
nilijua unakuja na ushahidi wa maana kumbe bado na wewe unasimamia data za kupikwa,sawa tunashukuru nenda kasaini upate buku 7 yako mkono uende kinywani
jina huakisi tabia ya mtu LI-PUMBA,ukinyambulisha hilo jina utaona tabia yake na jina yanavyofanana.Ata makomeo naye mbishi kama jina lilivyo japo yeye mbaya zaidi katikati kuna kilevi ndo matokeo yake haya tunayaona
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.