Recent content by UCHAGUZI CHADEMA

  1. U

    JamiiForums Tanzania Kuna Viongozi wasaliti CHADEMA - Mbowe

    Ben Saanane katika umri wako mdogo unaonekana kijana mahiri wa kujenga hoja na mwenye mvuto na ushawishi mkubwa kwa vijana ndani na nje ya CHADEMA lakini ninatoa angalizo moja kwako Endapo Mwenyekiti Mbowe atagombea nafasi ya Uenyekiti basi ni bora wewe ukaacha kugombea uenyekiti wa...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Uchaguzi Mkuu ndani ya CHADEMA: Tahadhari hii ichukuliwe

    Inabidi uchaguzi uitishwe tu muda huu
  3. U

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Uchaguzi Mkuu ndani ya CHADEMA: Tahadhari hii ichukuliwe

    Sijakuelewa ndugu yangu
  4. U

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Uchaguzi Mkuu ndani ya CHADEMA: Tahadhari hii ichukuliwe

    Haswaaaa.Pamoja naauwezo.mkubwa na mvuto alio nao kwa Vijana kama Ben atalazimisha kwa kiburi na jeuri kuchukua fomu basi itakua busara kamati kuu ikakata jina lake kwa maslahi ya chama.Hicho kisirani chake anaweza kukitumia katika eneo lingine lisilokua na madhara kwa Chama.Kwanza huyu...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Uchaguzi Mkuu ndani ya CHADEMA: Tahadhari hii ichukuliwe

    Najua propaganda na fitna kali za kisiasa unaziweza.Naona hata kwenye kujibu tu umeelekea kutaka kunigeuza nionekane mkabila na mbaguzi ili watu waanze kunishambulia CC: Zitto, Ritz, ZeMarcopolo, Kitila Mkumbo, TUNTEMEKE Taswira, Juliana Shonza, Mtela Mwampamba, Mchange, ASENGA WA PAKAYA, NKUU...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Uchaguzi Mkuu ndani ya CHADEMA: Tahadhari hii ichukuliwe

    Uchaguzi utafanyika kati ya December na Mwezi June mwakani.Hizi ni habari za uhakika.Nimetoa angalizo maana si vyema safu ya juu ikawa na Mwenyekiti wa vijana mchagga na Mwenyekiti wa Chama Mchagga.Labda akubali kuwa katibu wa vijana au amuunge mkono mtu mwingine vinginevyo labda kama Zitto...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Uchaguzi Mkuu ndani ya CHADEMA: Tahadhari hii ichukuliwe

    Nimerekebisha mada kuu kuna aya 2 nilizisahau kabla stori haijaanza, Ben Saanane katika umri wako mdogo unaonekana kijana mahiri wa kujenga hoja na mwenye mvuto na ushawishi mkubwa kwa vijana ndani na nje ya CHADEMA lakini ninatoa angalizo moja kwako Endapo Mwenyekiti Mbowe atagombea...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Uchaguzi Mkuu ndani ya CHADEMA: Tahadhari hii ichukuliwe

    Nashukuru mno mkuu.Siasa ni mikakati badala ya kuwa na shingo ngumu ni bora usikilize ushauri.Tutakomaa mpaka kieleweke
  9. U

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Uchaguzi Mkuu ndani ya CHADEMA: Tahadhari hii ichukuliwe

    Hii ni kwa maslahi ya chama chetu kumaliza propaganda za ukanda mkuu.jifunze uvumilivu wa hoja kinzani
  10. U

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Uchaguzi Mkuu ndani ya CHADEMA: Tahadhari hii ichukuliwe

    Ben Saanane katika umri wako mdogo unaonekana kijana mahiri wa kujenga hoja na mwenye mvuto na ushawishi mkubwa kwa vijana ndani na nje ya CHADEMA lakini ninatoa angalizo moja kwako Endapo Mwenyekiti Mbowe atagombea nafasi ya Uenyekiti basi ni bora wewe ukaacha kugombea uenyekiti wa...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Mtafaruku CHADEMA: Vijana wa Red Brigade wampiga na kumjeruhi mratibu wa BAVICHA

    Kwa hiyo sasa kwa ushawishi ulio nao unaweza kushirikiana na uongozi utakaochaguliwa wa bavicha kutengeneza baraza imara la kuvuka uchaguzi mkuu.Ni bora hata ukagombea nafasi ya katibu Mkuu wa Bavicha kuliko nafasi ya uenyekiti itakayozidisha propaganda.Tutakibomoa chama kwa kuendekeza siasa za...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Dr.Slaa na Kinana sasa kuripoti kwa Zitto

    Kwa hiyo Katibu Mkuu wa CUF ni Julius Mtatiro?
  13. U

    JamiiForums Tanzania Madawa ya Kulevya na aibu ya Tanzania - Yatosha sasa!

    Mtandao ni mpana zaidi
Back
Top Bottom