gari ikitoka tu bandarini....wanaichepusha..
wazambia nao ikawa wanasema inaenda drc...ikifika zambia mpakani inaingia kama transit then wanaichepusha humo zambia.
basi ndio baadaye mamlaka za mapato zikaamua kwamba waagizaji watalipiA kodi zao tanzania...wakitoka bandari ya dar wawe washalipa...
tatizo kuna watu wanaandika wakiwa na hasira zao kuhusu yaliyotokea zanzibar....na wanatamani kila leo tuongelee hayo kama vile demu aliyeachwa anavyotamani mida yote muongelee habari za huyo mpenzi wake!
nakubaliana na aliyesema mambo ya ki fisadi ndiyo yaliyokuwa yakishamirisha mizigo mingi ya...
Hiyo ndo siasa bwana mdogo
Mwaka huu chadema wanajifanya ni wapoleee na wastaarabu...kisa wamebeba bomu wakitaka wapande nalo kwenye ndege....mgombea urais waliyemnadi wao wenyewe kwamba ni fisadi...na kwa bahati mbaya zaidi..mgombea huyu ki afya hayuko sawa.....sasa mnataka ccm wasitumie hayo...
Ccm itashinda
Hayo mengine yooote ni vinogesho vya safari ya ushindi
Na inaeleeeweka
Ccm itashinda
Na upinzani lazima utalalamika ati umeibiwa kura
Hivyo hakuna jipya
Msijidanye nyie
Wimbo wa ufisadi ndio uliopandisha chati upinzani nchi hii...
Na wimbo huu huu ndio utakaoshusha chati ya upinzani
Ukiimbwa.....chati
Usipoimbwa....chali
Salary slip...hakuna kosa kubwa kama hili la chadema kumpokea lowasa
Ki uhalali kabisa hata bila kuibiwa kura moja...lowasa atashindwa
Kuiba lazima muibiwe...lengo likiwa ni kuwadhoofisha msipate ruzuku nyingi..ili muingie kwenye mtafaruku wa kugawana kido cho ndani ya ukawa
Si kweli alimaanisha wote ....makapi yanajijua
Hivi wewe umewaona wote waliokuja chadema?
Wote. Wale wLiokuwa wanahisi ndani ya ccm hawatakwi....kuanzia lowasa
Huwezi sema ati bilal pinda ni makapi...kwani hao wanaelewa wanatakiwa, ila hawawezi kuwr po ma zaidi ya mmoja
Wana ccm wanaelewa...
Tatizo ni kwamba siku zote chadema wamejifanya wao malaika na kuwaaminisha watu hivyo, hasa kwa sababu wamekuwa wakiitumia muda meingi kuelezea kwamba ccm ndiyo yenye makosa hata pale ambapo wao nndio wamekosea.....sasa hata katika sakata hili..badala ya kukiri makosa yao...wao wanadhani...
Kninadhani jamii forums watu waliumia sana ccm ilipoweza kumkata lowasa.
Hivi sasa ile after shock inawafanya watu wengi watake kusikia baya lolote limewatokea ccm
Ndio maana jamiiforums haiishi watu kuandika kile ambacho wangefurahia sana kukisikia
Hivi ni nani aliyedhania lowasa baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.