Recent content by Ubwinowanga

  1. U

    PPF wameita interview

    Nilibahatika ndugu. uhamiaji tulipga fasta then ppf ilikua sa 8 nikapga pia.
  2. U

    PPF wameita interview

    Sijui ntawahi, asubuhi uhamiaji, Saa 8.30 PPF. Mungu nijarie
  3. U

    PPF wameita interview

    Sijui ntawahi, asubuhi uhamiaji, jioni PPF. Mungu nijarie
  4. U

    Aliyeweza kutuma application TPB

    Mimi nilitumaga mara moja tu ikakubari. poleni wadau
  5. U

    TPDC Kumekucha - Call for Interview

    Asante MUNGU nami nipo planning officer.
  6. U

    Kazi Coca-Cola Jamani

    Uzi ulikuepo humu humu ndugu. jaribu zingne ulzoziona pia, wewe toa ushauri tu usilaumu ndugu.
  7. U

    Kazi Coca-Cola Jamani

    Asante. ngoja nisubir labda watanipgia kesho, nliomba finance. Na hyo interv ni lini?
  8. U

    Kazi Coca-Cola Jamani

    Da! washaita! umepgiwa cm au email? niliomba pia ila kimya. kila raheri ndugu.
  9. U

    Kazi jamani kazi...

    Utapata ndugu, MUNGU yupo nasi.
  10. U

    TPD na DTB

    Habar wapendwa wana JF. Naomba kujuzwa juu ya kazi za Bank Officer za DTB (Bank) na Relationship Officers za TPB (Bank)
  11. U

    Sponsorship ya kusoma masters of sc. In Finance

    Sina mchongo wowote na upper 2nd yangu. kama kuna mchongo 2wekane.
  12. U

    Sponsorship ya kusoma masters of sc. In Finance

    Hyo ya finance and investment me ninayo bachelor yake toka mipango pale.
Back
Top Bottom