Kwa nilipofikia Acha niwachukie tuu hawa viumbe wanaojiita polisi, sio polisi wa kwenye muvi namaanisha hawa polisi wetu wa Tz, yaani nawachukia sana.
Wamesababisha nianze kuishi Maisha ya kimaskini, sina hatia yoyote lakini walinikamata na kuning'ang'ania.
Hawakutaka kuniachia, hawakutaka...