Recent content by ubarinolutu

  1. U

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wachaga Kila ofisi kubwa wapo, na position nyeti wapo?

    Wa kinga ni matajiri kwakuwa wanashindia mihogo na kulala chini
  2. U

    JamiiForums Tanzania 1/3 ya pesa za el nini zimetafunwa Kwa vikao, na sioni el nino

    Ruto pia anasema Toka mwezi wa nane anaambiwa lakini haioni
  3. U

    JamiiForums Tanzania 1/3 ya pesa za el nini zimetafunwa Kwa vikao, na sioni el nino

    Ruto mwenyewe anaisubiri haioni
  4. U

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wachaga Kila ofisi kubwa wapo, na position nyeti wapo?

    Ngoja tuone 2030 labda mchaga ataibuka raisi
  5. U

    JamiiForums Tanzania Dodoma inajengwa na Gov+ Businesmen + mafisadi but Mwanza inajengwa na Business Man tu, ni muda tu

    Ni kweli wagogo na warangi ndo nature Yao umasikini
  6. U

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wachaga Kila ofisi kubwa wapo, na position nyeti wapo?

    tujaribu raisi mchaga
  7. U

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wachaga Kila ofisi kubwa wapo, na position nyeti wapo?

    Serikalini wakinga wamefeli, wamepitwa Hadi na wasukuma na wapemba
  8. U

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wachaga Kila ofisi kubwa wapo, na position nyeti wapo?

    Hapa kuna hoja ya uhakika
  9. U

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wachaga Kila ofisi kubwa wapo, na position nyeti wapo?

    Hapa kuna hoja
  10. U

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wachaga Kila ofisi kubwa wapo, na position nyeti wapo?

    Hii nchi bwana, Wachaga sijui kwanini Kila taasisi au sehemu nyeti serikalini wapo wamejaa kibao, unaweza sema wanapendelewa na mfumo, lakini hii si kweli, Wachaga wamejaa kwenye maofisi ya serikalini, na binafsi , ila vyeo vikuu vya kisasa hawapati. Huwezi kukuta mchaga Raisi, Mchaga Waziri...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Biashara yenye muundo wa Mini Supermarket

    Nina mawazo , ila uvivu kutype
  12. U

    JamiiForums Tanzania 1/3 ya pesa za el nini zimetafunwa Kwa vikao, na sioni el nino

    Ngoja nikae kimya
  13. U

    JamiiForums Tanzania 1/3 ya pesa za el nini zimetafunwa Kwa vikao, na sioni el nino

    Pesa za majanga
  14. U

    JamiiForums Tanzania 1/3 ya pesa za el nini zimetafunwa Kwa vikao, na sioni el nino

    Nina wasi wasi ana upigaji unaoendelea kupitia mambo ya el nini, Kuna baadhi ya watu nawajua kupitia hii el nino wameshajenga nyumba na kuisha, El nino hatutaki itokee, lakini maandalizi na vikao vya kuikabili El nino inasemekana zimeshatafuna 1/3 ya bilioni 780, hivyo , tunasuburi Sasa itokee...
Back
Top Bottom