Recent content by UA1

  1. U

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

    Dr. Natoka kiasi kikubwa cha ute mweupe kama karatasi ukeni, hautoe harufu, nawashwa kiasi kidogo na sisikii maumivu. Nimepima UTI na fungus nimeambiwa sina mambukizi hayo. Ute huo huongezeka zaidi nikikaribia siku zangu. Ni ute mwingi mpaka nguo ya ndani inalowa sana. Huu ni mwaka wa tatu...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Nimejaribu kumtongoza mchumba wangu kwa namba nyingine, amekubali kesho aje geto na wala hanijui

    Nadhani anakuzingua tu wala haji, msubili uone kama atakuja. Mwanamke anaouwezo kumsoma mwanaume mzinguaji nae akamua kumrusha.
  3. U

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kukuweka sero anastahili kusamehewa?

    Mlipiga? Au ulimpiga mkuu!
  4. U

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

    Docta natoka ute mweupe kama karatasi ukeni, nimepima UTI na fungus sina. Uchafu hautoi harufu yoyote na hutoka zaidi nikikaribia siku zangu, ni mwingi mpaka unaniudhai hadi nguo ya ndani kulowa, Yaweza kuwa nini na nitumie dawa gani?
  5. U

    JamiiForums Tanzania Kwanini wadada wanakimbilia makanisani.

    Na wanaume wakifikisha 40 wanakimbilia vijijini kuoa waliofeli form 2!
Back
Top Bottom