Recent content by TZ001

  1. T

    JamiiForums Tanzania ZINGATIA-Mnaoweka matangazo ya kazi humu

    umesoma chuo miaka mingapi wewe?nasikitika maana naona hata ukipata kazi bado utakuwa na mawazo finyu. Fikiria hivi ingekuwa Vipi JF isingekuwepo leo hii?Je hizo link au matangazo ya kazi ungekuwa wapata wapi? Kwa mawazo yako madogo unadhani makampuni ya simu yatakugawia service free????inaingia...
  2. T

    JamiiForums Tanzania ZINGATIA-Mnaoweka matangazo ya kazi humu

    @likwamba, mimi nijuavyo maisha ya technohama no free na pia you supposed to pay each service unayo access kwa wakati huo.kama ameweza sign in kwenye blog,facebook,yahoo na myspace huyo anaweza mudu gharama za kucheki hizo link hata mia moja. Mimi naomba muendelee na mnavyofanya na sio mtu...
  3. T

    JamiiForums Tanzania ZINGATIA-Mnaoweka matangazo ya kazi humu

    Hebu fikiria hata hiyo link umeipata ...kunasehemu tuliko sisi wananch hawana elimu ya Technohama,Mitandao yenyewe shida kushika...ikinyesha mvua mitandao inakuwa ishu sometimes,magazeti yanasomwa ya siku moja nyuma,fikiria huyo atajuaje kunakazi sehemu na kama wenye blog yao hawa wanatusaidia...
  4. T

    JamiiForums Tanzania ZINGATIA-Mnaoweka matangazo ya kazi humu

    Dry, nadhani hapa hauna elimu kidogo ya website."@Dry hakuna website yeyote duniani wakati wa ku browse isile bytes or any size.na hii inategemea sana Uzito wa website na pia wewe watumia ISP yupi kwenye simu yako?Then handset yake(device-simu yako).sasa kama wewe watumia Nokia tochi au hizo...
Back
Top Bottom