Recent content by Tz mbongo

  1. Tz mbongo

    PostGE2025 Balozi wa Tanzani UN-DR. Abdallah Possi azimiwa mic na hotuba yake nzito yenye maelezo ya kweli na ya kina kuhusu uchaguzi wa Tanzania2025 yakatishwa

    Ushaambiwa walikuwa kwenye banda la kuonyesha mpira wanaangalia mpira, issue ni kwamba jamaa walikuwa wanatekeleza amri ya kuuwa tu hapo ndio shida ilipo na ndio maana wameuwa hadi waliyokuwa majumbani mwao. Watu hawana silaha za zamoto na wamekupa mgongo wanakimbia wako mbali kabisa ila...
  2. Tz mbongo

  3. Tz mbongo

  4. Tz mbongo

  5. Tz mbongo

    Mrejesho wa uzi wa wanawake kutusogezea makalio kwenye Dala dala

    Kuna kugombaniwa halafu kuna demu kukung'angania wewe kama vile kakulipa, yani unakuta umeshasogea zako pembeni na nyuma yake yupo jamaa mwengine ila hataki kubambiwa nae anajisogeza hadi wewe ulipo.
  6. Tz mbongo

    Mrejesho wa uzi wa wanawake kutusogezea makalio kwenye Dala dala

    Inaweza ikawa kweli maana mazingira ya hilo jambo hujengeka hisia kali sana.
  7. Tz mbongo

    Mrejesho wa uzi wa wanawake kutusogezea makalio kwenye Dala dala

    Wanawake ndio wahusika wakuu wa huo mchezo, ni nadra sana mwanamke afanyiwe hivyo na awe hapendi ila akatulia labda kuwe hakuna kabisa nafasi ya kusogea.
  8. Tz mbongo

    PostGE2025 Balozi wa Tanzani UN-DR. Abdallah Possi azimiwa mic na hotuba yake nzito yenye maelezo ya kweli na ya kina kuhusu uchaguzi wa Tanzania2025 yakatishwa

    Ilishindikana nini kuwakamata hao waliyokuwa kwenye banda la mpira kama walivyokamatwa wale wengine ambao mkawaachia tu? Watu hawana silaha wewe unaanza kuwamiminia tu risasi, sasa hapo kweli unapambana na wahalifu au upo kwenye zoezi tu la mauwaji? Wakina Sheikh majini na wengineo walitii...
  9. Tz mbongo

    PostGE2025 Balozi wa Tanzani UN-DR. Abdallah Possi azimiwa mic na hotuba yake nzito yenye maelezo ya kweli na ya kina kuhusu uchaguzi wa Tanzania2025 yakatishwa

    Sasa kumbe idadi kubwa ya waliyouliwa walikuwa hawana hatia. sasa wewe uende kuuwa watu hadi majumbani kwao, kwenye vibanda vya kutizama mpira na kila anayeonekana mtaani halafu wewe uje kusema wote walikuwa wahalifu na walipaswa kuuliwa. Yani shida mnapohalalisha hayo mauwaji mnataka...
  10. Tz mbongo

    PostGE2025 Balozi wa Tanzani UN-DR. Abdallah Possi azimiwa mic na hotuba yake nzito yenye maelezo ya kweli na ya kina kuhusu uchaguzi wa Tanzania2025 yakatishwa

    Sasa mimi na wewe unayeita raia wasio na hatia kuwa wahalifu na wanastahili kuuwawa kinyama vile ni nani anajitoa akili?
  11. Tz mbongo

    PostGE2025 Balozi wa Tanzani UN-DR. Abdallah Possi azimiwa mic na hotuba yake nzito yenye maelezo ya kweli na ya kina kuhusu uchaguzi wa Tanzania2025 yakatishwa

    Wahalifu walikamatwa na Samia akatoa msamaha waachiwe ila watu wanazungumzia yale mauwaji ya polisi kwa raia.
  12. Tz mbongo

    Akili matope ni hii, unaifungia JF halafu wewe mwenyewe unaingia kwa VPN

    Unafananisha mavi na vitu vya kijinga, mavi yanaweza kuwa chanzo cha umeme.
  13. Tz mbongo

    Mbunge apata kigugumizi kuongea Kingereza. Aomba po! "I'm sorry"

    Sijawahi kulichukulia bunge serious, jamaa ni kama kusanyiko la comedians ambao wanalipwa na serikali.
  14. Tz mbongo

    Mbunge apata kigugumizi kuongea Kingereza. Aomba po! "I'm sorry"

    Unaona aibu kwa kutizama chaneli ya vichekesho?
Back
Top Bottom