Ubaya Ubwela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 2,711
- 6,474
Huyu wangemuamuru asimame alafu wamchote mitama
Uzalendo ni kuvaa maskafu tu, wala sio kupandisha habari za balozi wetu.Hongera sana Mkuu Tila, huu ndio uzalendo wa kweli wa taifa hili na hili ni bandiko la kizalendo kuonyesha jinsi Balozi wetu alivyozimiwa mic!, japo mimi sikubaliani na wewe, kuhusu hizo dosari na changamoto ndogondogo za uchaguzi, kama kweli ni dosari na changamoto ndogondogo za uchaguzi then kwanini serikali yetu ilitumia risasi za moto?.
P
Vituo vote nchini kura zilihesabiwa, hakuna kituo ambacho kura ziliharibika, acha uongo wee mbwakoko.Uchaguzi si mlichoma moto vituo vya kura na kushambulia wasimamizi
Huwezi zimia mtu mic vikao vya UN,hata iwe vipi,hapo wameonesha ujinga,hivyo siyo vikao vya jumuiya,mahari etcSiyo kweli.
Hivyo vikao ni vikao vya watu wenye akili timamu, siyo vikao vya CCM. Watu wana mambo mengi ya kujadili, wewe ukienda kwa dhamira ya kueleza uwongo, ni sahihi kuzimiwa mic, hata kutolewa nje ya kikao. Ni sawa na mtu mnamwona kabisa ni mwanaume, halafu jitu linawapotezea muda eti liwafafanulie kuwa huyo ni mwanamke!
Fikiria ule ushetani uliofanywa na wauaji ile Oct 29, halafu jitu linakupotezea muda kukueleza kuwa hakukuwa na tatizo!! Huyo si anawafanya wote hawana akili!
For sure, common sense is not commonUtashangaa Ma chadema Yanaanza kutukana matusi . Halafu ukiyauliza Balozi kazungumza nini Yanaanza kukodoa Macho. Maana Hayanaga Elimu.
Hujamuelewa ujumbe uliojificha.Umeshamuomba msamaha mdogo wako mchemba kwa kumuingilia mawazo yake kumsemea aliumia huku yeye hakuumia kutoshangiliwa au upo tu humu unasifia sifia ujinga?
Ameonyesha uzalendo gani huyo hata umuite mzalendo!
Yah possi mboga 8 kitambo sana,watu wa hivyo ujiona wao ndio wenye haki ya kula mema ya nchi na vizazi vyaoPosi, mwana aliyekuzwa wazazi wakila mema ya nchi kwa sababu ya CCM, atatetea nini zaidi ya CCM...
Mara zote amekuwa akifanya hivyo huko UN...
Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Dk Abdallah Possi ametoa utetezi katika Baraza la Haki za Binadamu ofisi ya Geneva, Uswisi, kuhusu madai ya kutesa na kudhalilisha wanaharakati.
Tanzania Yajitetea Umoja wa Mataifa Tuhuma za Kutesa, Kudhalilisha Wanaharakati, Yasema Inachunguza
Tanzania imejibu tuhuma zilizofikishwa katika Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa, juu ya kuwatesa na kuwafanyia udhalilishaji unaotweza utu wa binadamu, wanaharakati Agather Atuhaire kutoka Uganda na Boniface Mwangi kutoka Kenya, waliokamatwa mnamo Mei 19,2025 walivyokuja...
- Parabolic
- tanzania tuhuma udhalilishaji wanaharakati yajibu
- Replies: 72
- Forum: Jukwaa la Siasa
Kama anaongea utumbo,imagine mtu anatetea kuuliwa kwa risasi kwa watu ambao awakua na silaha ya aina yoyote,tena wengine wameuliwa wakiwa majumbani kwaoMtu umempa nafasi ya kujieleza, halafu unamzimia mic!..hawa si ndiyo wanaohubiri freedom of expression?
Waliwahi zima mic vikao kama hivyo vya kuishutumu Israel mauaji ya Gaza mwaka Jana?Kama anaongea utumbo,imagine mtu anatetea kuuliwa kwa risasi kwa watu ambao awakua na silaha ya aina yoyote,tena wengine wameuliwa wakiwa majumbani kwao
Akihutubia na kutoa majibu na ufafanuzi muhimu sana dhidi ya upotosha uliotolewa na mataifa mablimbali kuhusu matukio ya kabla ya uchaguzi mkuu, wakati wa uchaguzi na baada ya uchaguzi mkuu huru, wa wazi na wa haki uliofanyika Oct.29,2025, makamo wa rais wa kikao hicho cha baraza alionekana kukerwa na ukweli wa balozi dr. Possi na kulazimika kumzimia mic na kukatisha hotuba ya Dr.Possi iliyojaa mambo muhimu na ya msingi zaidi dunia kufahamu.
Akihutubia kikao cha 61 cha baraza la haki za binadamu, Dr.Possi ameeleza kusikitishwa na taarifa za kupotosha za upande moja za mataifa na taasisi kadhaa za kimataifa, huku kwa makisudi wakifumbia macho ukweli halisi juu ya kilichotokea Oct.29.2025.
Kiukweli, balozi Dr. Abdalah Possi ni mtu na nusu mbele ya mabwenyenye ya magharibi, ambao walikua kimya mno wakati balozi akiudadavua na kuweka wazi kweli mtupu dhidi ya uongo wao mabwenyenye, balozi Possi aliweka bayana namana serikali sikivu ya CCM chini ya Dr.Samia Suluhu Hassan, ilivyosimamia na ilivyoshughulikia dosari na changamoto ndogondogo za uchaguzi kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi.
Sikiliza hotuba hiyo ya maana na ya kihistoria, lakini pai shuhudia namna hotuba hiyo muhimy ya balozi Possi, livyokatishwa kihuni.
Mungu Ibariki Tanzania
View: https://youtu.be/NQTikDfGIIU?si=UnE3agEAaFciz8Lb
Netanyahu anatakiwa ICC leo kesho,na kuna mataifa akienda anakamatwa,so unataka kusema nini?Waliwahi zima mic vikao kama hivyo vya kuishutumu Israel mauaji ya Gaza mwaka Jana?
Akihutubia na kutoa majibu na ufafanuzi muhimu sana dhidi ya upotosha uliotolewa na mataifa mablimbali kuhusu matukio ya kabla ya uchaguzi mkuu, wakati wa uchaguzi na baada ya uchaguzi mkuu huru, wa wazi na wa haki uliofanyika Oct.29,2025, makamo wa rais wa kikao hicho cha baraza alionekana kukerwa na ukweli wa balozi dr. Possi na kulazimika kumzimia mic na kukatisha hotuba ya Dr.Possi iliyojaa mambo muhimu na ya msingi zaidi dunia kufahamu.
Akihutubia kikao cha 61 cha baraza la haki za binadamu, Dr.Possi ameeleza kusikitishwa na taarifa za kupotosha za upande moja za mataifa na taasisi kadhaa za kimataifa, huku kwa makisudi wakifumbia macho ukweli halisi juu ya kilichotokea Oct.29.2025.
Kiukweli, balozi Dr. Abdalah Possi ni mtu na nusu mbele ya mabwenyenye ya magharibi, ambao walikua kimya mno wakati balozi akiudadavua na kuweka wazi kweli mtupu dhidi ya uongo wao mabwenyenye, balozi Possi aliweka bayana namana serikali sikivu ya CCM chini ya Dr.Samia Suluhu Hassan, ilivyosimamia na ilivyoshughulikia dosari na changamoto ndogondogo za uchaguzi kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi.
Sikiliza hotuba hiyo ya maana na ya kihistoria, lakini pai shuhudia namna hotuba hiyo muhimy ya balozi Possi, livyokatishwa kihuni.
Mungu Ibariki Tanzania
View: https://youtu.be/NQTikDfGIIU?si=UnE3agEAaFciz8Lb
Wahalifu walikamatwa na Samia akatoa msamaha waachiwe ila watu wanazungumzia yale mauwaji ya polisi kwa raia.Ulitaka wafanyweje wale wahalifu?
Dosari za uchaguzi hata zingekua kubwa ndiyo wafanye uhalifu waliofanya?..vituo vya mwendokasi viliwakosea nini,sheli za watu ziliwakosea nini,kwa nini walipora?