Mchambuzi
Hii hoja inapaswa kuchambuliwa kwa kuangalia mazingira halisi yaliyopo na siyo kutumia nadharia tu.
Gongo ikitengenezwa kwa utaaalamu unaoujengea hoja hapa itakuwa siyo gongo tena bali ni kinywaji tofauti cha chupa kitakachopewa jina la "Gongo"
Nina mashaka kama wapika gongo, wengi...
Angalia kupitia hii link inaonyesha vizuri haikatiki: gladiateur_11 on Justin.tv
Simba wakaze buti tu hawa jamaa hawana mpira wa kutisha ila tatizo refa mwarabu mwenzao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.