Recent content by Tyson Mike

  1. T

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu mstaafu, Mizengo Pinda ni mfano wa kiongozi bora

    Mawazo ya Magu ni huru,ila sio mawazo ya watz wote,,,,,kwangu mimiEL na Sumaye ni bora Mara 20000 kwa huyu aonae makosa na kunyamaza. Anamsifu maana kanyamaza kumbe kwa mkuu wa nchi yetu anaenyamaza ndo kiongozi bora duu
  2. T

    JamiiForums Tanzania M/kiti halmashauri Tarime Mjini (CHADEMA) afumaniwa, apigwa kalazwa hospitali ya wilaya

    Taaahira siku zote huandika uongo kwa lengo LA kumchafua MTU,taaahira huyuuuuuu
  3. T

    JamiiForums Tanzania Sehemu ya Pili: Je, Bunge letu tukufu linajipendekeza kwa Serikali?

    Pascal Mayalla Una mawanda mapana y kufikirisha,lakini pia kuwafanya watu wenye mawazo huru( objective) kupima na kutoa jibu.Mimi sitatoa jibu.Lakini tayari ushaitwa katika kamati hiyo ya maadili ya bunge, jipange kujibu hoja zao. Nimalizie kwa kusema baadhi ya wabunge wanajipendekeza mnooo kwa...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Hoja ya kumfuta Nape Nnauye uanachama CCM

    Bado hujafikiri,fikiri na andika upyaaaa
  5. T

    JamiiForums Tanzania Fred Lowassa: Paul Makonda nimetoka naye mbali sana, nasikitika anavyotumia nafasi yake vibaya kwa manufaa anayoyajua

    Sijawai kuona bashiteee chiziii kama hili bashite la koromije linalojidai kwao bongo!!!!
  6. T

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Nitampeleka Abdul Nondo Uhamiaji tarehe 20/4/2018 kwa mamlaka yangu kama Mbunge wa Kigoma Mjini

    Siku ukippna kichaa ndugu zako watafurahi
  7. T

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa na Askofu Fredrick Shoo wazungumza hali ya kisiasa nchini

    Sophist mjinga tuu ndo anaweza kuandika upuuzi huuu
  8. T

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa na Askofu Fredrick Shoo wazungumza hali ya kisiasa nchini

    Ujinga sio tusi,pili ameweka bayana kuwa wale wanaoupuuza,kuukejeli na kuupotosha waraka ule wa Kiaskofu,hajamtukana MTU,vipi unahusika nini???pili tambua ule wakala sio wa Shoo,unapigiwa kura na maaskofu ndio unatoka. Lakini vyovyote alivyosema sio tatizo,je yaliyonyoshewa vidole katika waraka...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji wamhoji Abdul Nondo kuhusu uraia wake. Wamtaka apeleke cheti cha kuzaliwa chake, wazazi wake,mababu na mabibi

    Hujapatia...kama msukule usiojua kinachoendelea Giningi.labda mahaba kwa malaika mkuu yamemzidiaaa
  10. T

    JamiiForums Tanzania Askofu Pengo: Sikufahamu kuhusu waraka wa Kwaresma wa Baraza la Maaskofu Katoliki. Awaasa wasichanganye dini na siasa

    Askofu huyu ni yule anaetakiwa kujieleza Vatican au??
  11. T

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji wamhoji Abdul Nondo kuhusu uraia wake. Wamtaka apeleke cheti cha kuzaliwa chake, wazazi wake,mababu na mabibi

    JK Nyerere alishatadharisha kuwa mkiwa waoga mtatawaliwa na madkteta.Ushaona ulivyojaa hofuu duui?? Bongo bahati mbaya!!
  12. T

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji wamhoji Abdul Nondo kuhusu uraia wake. Wamtaka apeleke cheti cha kuzaliwa chake, wazazi wake,mababu na mabibi

    Ni kweli ndugu,kuelewa ni stadi.Naamini wewe umenielewa
Back
Top Bottom