Kati ya sababu zifuatazo ipi hasa ndiyo imewafanya CHADEMA kuahidi kutosusia na kutoka tena Bungeni?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,518
108,795
  1. Mwaka 2020 unakaribia hivyo wanaogopa kupoteza umaarufu wao na kutochaguliwa?
  2. Wengi wao sasa hali yao ya Kiuchumi ni mbaya ( Vyuma vimekaza ) hivyo wanataka Posho?
  3. Agenda zao zimezimwa na mafanikio ya Rais Dr. JPM hivyo wameona hawana jipya?
  4. Wana mpango wa ' Siri ' wa kuharibi Vikao vya Bunge na kuichafua nchi Kimataifa?
  5. Wanataka Kujiimarisha zaidi Kisiasa kwa faida za baadae za Kisiasa?
  6. Wanataka kumaliza ' Hasira / Jazba ' zao Bungeni ili zisikike kwa haraka Duniani?
  7. Wana ' Hofu ' ya Chama chao ' Kufutwa ' hivyo wanataka kupambana nacho Kisheria?
Nawasilisha.
 
Hivi ukipigana na mkeo nyumbani kwako mkeo au watoto wakapiga kelele majirani wakasikia nani aliyeidhalilisha familia?
 
Ndani ya kichwa cha binadamu kuna damu na ubongo ila ndani ya nazi kuna maji na nazi yenyewe.

Kazi ya kichwa haiwezi kuwa substituted na nazi
 
Hivi ukipigana na mkeo nyumbani kwako mkeo au watoto wakapiga kelele majirani wakasikia nani aliyeidhalilisha familia?

Muuliza swali huwa hatakiwi kuulizwa swali. Tujaribu kuheshimu ' Kanuni ' za Kitaaluma na Kiuweledi tafadhali.
 
Hahahaha...zile nyodo za miaka ya nyuma kwishnei! Duh...si mchezo, itabidi ma press conference mengi na maandamano labda...hawana jinsi..:):):):)
 
Nia ni kupeleka scene bungeni kama alivyofanya sugu kung'oa kipaza sauti
Hao hawaaminiki
Waliwahi kutangaza kususia chaguzi lakini ghafla wakarudi
Nakuhakikishia watadhibitiwa vitimbi vyao watasusa tu
 
  1. Mwaka 2020 unakaribia hivyo wanaogopa kupoteza umaarufu wao na kutochaguliwa?
  2. Wengi wao sasa hali yao ya Kiuchumi ni mbaya ( Vyuma vimekaza ) hivyo wanataka Posho?
  3. Agenda zao zimezimwa na mafanikio ya Rais Dr. JPM hivyo wameona hawana jipya?
  4. Wana mpango wa ' Siri ' wa kuharibi Vikao vya Bunge na kuichafua nchi Kimataifa?
  5. Wanataka Kujiimarisha zaidi Kisiasa kwa faida za baadae za Kisiasa?
  6. Wanataka kumaliza ' Hasira / Jazba ' zao Bungeni ili zisikike kwa haraka Duniani?
  7. Wana ' Hofu ' ya Chama chao ' Kufutwa ' hivyo wanataka kupambana nacho Kisheria?
Nawasilisha.

Hawana ajenda yoyote kwa hiyo wako bored!
 
Utaahira ni mbaya sana
 
Namba 2
 
wewe mtaoa mada nimtafuta kiki 2 ww chadema auiwezi mtaangaika mwisho wa siku mtakuja kufa
 
wengi hawatarudi na watakorudi ni kwa huruma tu na si utendaji kwakuwa wengi hawakujituma vizuri majimboni walizama sana kushindana na dola
 
Back
Top Bottom