Recent content by Tyrone Kaijage

  1. Tyrone Kaijage

    Kama una miaka 30, tayari umetumia nusu yako nyepesi na sasa upo kwenye nusu nyingine isiyohitaji mizaha

    Umaskini wa kutomiliki pesa na umasikini wa kutomiliki makazi kwa wenzetu ni mzunguko unaokimbiana uwiano
  2. Tyrone Kaijage

    Tumwambiaje Lamine Yamal mbadala wa Tafuta hela?

    Tumekuwa tukihimizwa kutafuta hela na tusiendekeze mapenzi, Sasa bwan mdogo wetu Yamal yashamkuta huko,demu kawekwa kwa mapaja na mwamba mwingine kijana kahamaki,... ingawa kiasi fulani kajipata je, tumwambiaje sasa maana hela tayar anazo na zinazidi kuja....
  3. Tyrone Kaijage

    Nafasi ya mke, nimechoka kukaa mwenyewe jamani mwenye kunipenda aje tujenge familia

    Swali zuri, sana mkumbushe nia njema ya kuoa inakuja pale unapokuwa hauna upwiru
  4. Tyrone Kaijage

    Kina mama wenye watoto wa kike, ila mnaishi na baba ambao sio walio wazaa kuna ujumbe wenu hapa

    Pia, kuna wanawake pia kwenye hizi hizi scenario huwa ni wapo kwa kujiegesha uwasaidie kusukuma life la watoto wao ila baadae wanagandisha akili watoto kuwa huyu sio baba yako, wakati kwa maisha ya sasa baba sio kutia na kuzalia bali ni kulea pia.
  5. Tyrone Kaijage

    Kina mama wenye watoto wa kike, ila mnaishi na baba ambao sio walio wazaa kuna ujumbe wenu hapa

    Shida mkigombana kufikia kuachana kwa ubaya wanakusingizia hata kubaka hawa viumbr tuwe nao makini pia, kuna kesi nyingi za namna hii
  6. Tyrone Kaijage

    Msaada: Mke wa mtu anataka kuhamia kwangu

    Kama huna mpango wa kuoa basi ondoa mpango wa kutomba wake za watu,….chukua jamaa kashakuachia. Unajua umepoteza ramani za watu wangapi hapo maishani. 1.Mwanamke kujutia kwa kuwa utamuacha 2.Watoto kuishi bila ya mama 3.Mwanaume, umemvunjia familia na umekiri kutumia mpaka pesa zake. Hapo kuna...
  7. Tyrone Kaijage

    Msaada: Mke wa mtu anataka kuhamia kwangu

    Why unawaza tuvae uhusika wako!? Sisi tunavaa uhusika wa yule uliyemtombea mke wake, ilhali unasema pia huna mpango wa kuoa leo wala kesho,!?
  8. Tyrone Kaijage

    Kwa nionavyo, mikoa inayoongoza kwa uvivu ni Lindi, Mtwara, Pwani na Tanga

    Ila katika mikoa yenye rekodi nzuri ya ulipaji kodi Pwani haiko mbali, sijajua inakuwaje hapo? Achana na hao Lindi na Mtwara…..
  9. Tyrone Kaijage

    Kwa nionavyo, mikoa inayoongoza kwa uvivu ni Lindi, Mtwara, Pwani na Tanga

    Kuna interview moja mchungaji Hananja anajibu vizuri hii hoja yako, watu wa Pwani ndio wenyeji wa Dar, tangu enzi na enzi darasa la nne anakula maisha bandari au kwa wawekezaji walioanzia Dar, wewe unawaza maendeleo ni kuwa na miparachichi mingi …..
  10. Tyrone Kaijage

    Nini asili ya neno bodaboda?

    Kwa hiyo ni AKA Chochochocho?
  11. Tyrone Kaijage

    Tusinunue vitu Used jamani

    Maanina nimesoma comments ndio nishaachwa Hahahaha!……used kiasi hata bikra ya kinyeo hakuna
  12. Tyrone Kaijage

    Tusinunue vitu Used jamani

    Umeandika hii ppst ukiwa kwenye gari mpya gani? Au unategemea kupanda gari mpya gani?
Back
Top Bottom