Recent content by TYRION LANNISTER

  1. T

    JamiiForums Tanzania Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

    mawazo yako yashaanza kufanyiwa kazi
  2. T

    JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu Rais Magufuli aliwashtukia Wachina kutaka kuichukua na kuimiliki TANESCO

    Nipe mchanganuo wa Bandari ya Bagamoyo on who owns what?
  3. T

    JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu Rais Magufuli aliwashtukia Wachina kutaka kuichukua na kuimiliki TANESCO

    Kiasi wapigwe wameenda kwenye mkutano na wachina wameshindwa ku take notes kama si uhuni ni nini?
  4. T

    JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu Rais Magufuli aliwashtukia Wachina kutaka kuichukua na kuimiliki TANESCO

    TBC je hali ikoje? majina ya hayo makampuni ya kichina ni yepi?
  5. T

    JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu Rais Magufuli aliwashtukia Wachina kutaka kuichukua na kuimiliki TANESCO

    So it happens Mheshimiwa Rais Magufuli wa right kuhusu hawa wachina kujiingiza na kutaka kuichukua Tanesco kwa mlango wa nyuma. Makampuni ya kichina kwa kushirikiana Ubalozi wao na baadhi ya vigogo wa Tanesco na Wizara ya nishati wamekuwa wakiwapiga presha ili wizara ya fedha iidhinishe na...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Kimya cha RC Makonda kuhusu Ngombe na wanyama/mifugo kufugwa Uraiani kinamaanisha nini

    Ninavyfahamu ni kuwa sheria ziko wazi kuwa hairuhusiwi kufuga wanyama/mifugo kama vile kuku, ngombe, mbuzi, kondoo etc uraiani kwa sababu za kiafya, usalama, utaratibu n.k sasa cha ajabu ukienda Masaki, Mikocheni, Mbezi nk unakuta mifugo inafugwa (sehemu ambaz hazina malisho) au inavuka...
  7. T

    JamiiForums Tanzania The Rise and Fall of Paul Makonda (Dar RC)

    Dar is a poisoned chalice. You walk in with clean hands (not that Bashite had any) but you walk out of it smelling like a skunk. Magufuli should have given us someone mwenye vision ya 21st Century ambaye angeweza kuliendesha hili Mega City ambalo linakimbilia kuwa na watu si chini ya milioni 6...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda: The 2nd most powerful man in Tanzania(?)

    the beginning of an end.
  9. T

    JamiiForums Tanzania Muslim Hassanali awataka Waziri wa Mambo ya Ndani na wa Nje na Balozi wa USA wamshughulikie Mange Kimambi

    Kuna msemo unasema Kheri hutoka kwenye tumbo la shari Kama kweli walipewa option ya kujengewa University wakachagua msikiti na kama kweli waliomba kupeleka bakuli kwa Ngosha akawachomolea sioni kwa nini waendelee kuongoza hao wanaowaongoza hivi kweli bakwata wana mali nyingi kiasi hicho ?
  10. T

    JamiiForums Tanzania Ya Nyerere USSR, Mwinyi USA, Mkapa Japan, Kikwete Malaysia na Magufuli Rwanda

    Hataki kusikia haya mambo ya PPP wala nini
  11. T

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio wako serious kuhusu Uchumi wa Viwanda

    ......napita tuu
  12. T

    JamiiForums Tanzania Wito kwa Rais Magufuli: Achana na mikoa ya ukanda wa Pwani

    majitu mavivu
  13. T

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Ndege na Reli, Magufuli ungeenda Ethiopia badala ya Rwanda

    Sasa watazalisha umeme wa megawatta zaidi ya 16,000 sisi umeme wetu ni megawatt 1400 hapo ndio tutajua kama kweli tunaenda mbele au tunarudi nyuma
Back
Top Bottom