Recent content by twiputege

  1. T

    JamiiForums Tanzania Juliana Shonza amlipua Mbowe

    Ktk maandiko ya vitabu ninayoyapenda basi ni yale yanayomhusu yesu. mahali fulani anasema hakuja kwa walioshiba bali wenye njaa.INAFIKIRISHA. Shonza, mwampamba na wengine wengi wanajionaje? Kwa uelewa wangu WANAJIONA WAMESHIBA NA HATIMAYE HAWATAKI KUJUA NJAA YA WATANZANIA MASIKINI WASIO JUA...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi 1050 waacha shule kwa mimba Musoma

    Mm ningependa badala ya watu km mwampamba au shonza kutuletletea habari za ulijali au uzao wa slaa wangekuwa wanatuletea suluhisho la masuala km haya ili tuamin kwamba kweli wao wana uchungu n'a nchi yetu ila INATIA UCHUNGU WANAJAMII
  3. T

    JamiiForums Tanzania Sakata la Lwakatare: Wanasheria CHADEMA walonga

    Kwamba maelezo ya tundu lisu ni kukubaliana n'a uhalisi wa ile video? Inawezekana ila pia tusiwe n'a haraka n'a mambo. mbona muda tunao n'a ukweli utajulikana.
  4. T

    JamiiForums Tanzania Sakata la Lwakatare: Wanasheria CHADEMA walonga

    Ni swala la muda tu hatimaye watz watapata ukweli.
Back
Top Bottom