Leo nimekuja kuipa Kongole Hospitali ya Rufaa kanda ya ziwa Bugando hususani kwenye idara ya kijamii na huduma nje ya mfumo wa matibabu, Hapa nazungumzia Huduma rafiki, safi, salama na nafuu ya vyakula inayotolewa ndani ya BMC kwa wateja wao.
Tumezoea kuona sehemu mbalimbali zitolewazo huduma...
Ni ngumu sana kupata uchaguzi wa Haki kama msimamizi Mkuu wa uchaguzi wilaya ni Mkurugenzi (aliyechaguliwa na Rais), waandikishaji wa uchaguzi huo ni waalimu (Bosi wao ni Mkurugenz wa Halmashauri). Kwa mfumo huo Kamwe hatuwezi kupata UCHAGUZI ulio na Haki katika hii Nchi.
Habari Wana JF,
Hali ni Tete sana Mradi wa reli ya SGR LOT 5 kutoka Isaka to Mwanza ambao upo chini ya ujenzi wa Kampuni CCECC.
Kwa sasa Mradi umesimama ujenzi sababu hela hakuna ya uendeshaji mradi, wamepunguza wafanyakazi zaidi ya 200 na bado wanaendelea kupunguza.
Aliye karibu na Mama...
Yaah ni kwel dawa ya deni ni kulipa lakin hawa wanakiuka namna ya kufai ndg, unakuta hata siku ya kulipa haijafika washatuma msg kwenye namba unazowasiliana nazo wewe na hiyo ndio inafanya watu kutokulipa deni lao. Kwa mfano mimi washanizalilisha kwa watu kuna haja ya kulipa?
Habari Wakuu!
Kampuni ya China inayotengeneza SGR LOT 5 kutoka Isaka to Mwanza CCECC, inakaribia kuacha kuendelea na ujenzi huo wa reli sababu wanadai fedha nyingi serikali wanasema hawajalipwa wanatengeneza kwa fedha zao wenyewe kuanzia vifaa mpaka kulipa mishahara ya wafanyakazi, hivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.