Recent content by twinaomukama

  1. T

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Wabunge wapingana juu ya Hoja Binafsi ya Mhe. Mbatia, wengine wamfuata nje ya ukumbi!

    mi naona ndugai naye hana uwezo wa kuwa naibu spika wa bunge
  2. T

    JamiiForums Tanzania Nani anafaa kuwa Rais Bora wa Afrika Mashariki kutokana na utendaji kazi na udhibiti rushwa?

    hivi unaona nani anafaa kupewa tuzo kwa maendeleo alofanyia nchi yake pia anaweza kufaa kuongoza jumuia ya africa mashariki,
  3. T

    JamiiForums Tanzania Mzimu wa Nyerere: Gesi ya Mtwara ni tatizo dogo ebu fuata maagizo yafuatayo

    mi nasema tu kulingana na maoni yangu juu ya mambo matatu yanayosemwa semwa sana tanzania 1.kuhusu raslimali za nchi yetu hii ya tanzania, napozungumzia raslimali namaanisha yale mambo muhimu tuliyo pewa na mwenyez mungu bure kabisa bila malipo, kama vile mafuta, makaa ya mawe, maji, na...
  4. T

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Kagera yaungana na madiwani wa CCM Kumpiga Meya!

    mi niliwaambia kumbe aman ana akili ya kinyarwanda sijui kinyankole siju ni mtusi jaman huyu hana machungu na bukoba subiri vijana tukichukua lile jimbo tutachunguza mengi sana hadi shule zake ni za wizi wizi tu yaan, pongez kwa cgadema na kagasheki:cheer2:
  5. T

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Kagera yaungana na madiwani wa CCM Kumpiga Meya!

    umeona eee huyu jamaa mjinga sana eti chadema kuungana na ccm kutetea maendeleo ni ujinga, yaan sijui watanzania siasa za chuki tutaziacha lini
  6. T

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Kagera yaungana na madiwani wa CCM Kumpiga Meya!

    umeongea point mkuu ndo maana tanzania nasema tuna siasa za kijinga inamaana chama cha obama kikiona mabaya yanatendwa kwenye serikari kikaungana na cha romny hamsemi kama mnavosema chadema wakiungana na ccm kuleta maendeleo:shut-mouth:
  7. T

    JamiiForums Tanzania Maendeleo ya Bukoba Mjini: Mchango wa Mbunge na Mayor

    wee ni mwomgo sana hujui hawa watu wa uganda wana matatizo huyu aman hana upendo na tanzania ntakushangaa sana kwa kuona aman anapenda aman yako mtanzania wakati ndugu zake uganda hawako na aman ANAONA WIVU
Back
Top Bottom