Recent content by Twasila

  1. T

    JamiiForums Tanzania Sakata la Mchanga wa Madini: Mwanasheria wa ACACIA yuko London kufungua kesi

    Si mliruhusu kwa mikataba mliyofunga? Tuliruhusu kuibiwa. Sema ndiooooooo...
  2. T

    JamiiForums Tanzania TLS chini ya Lissu kama kweli wanaitakia mema Tanzania waungane kuzima wizi wa Acacia

    Sina uhakika kama Mh. Lissu anaweza badilisha msimamo wa ccm wa ndioooooo ipiteeeeee....
  3. T

    JamiiForums Tanzania Chenge,Werema: Tume imedanganya kiasi kilichopo kwenye mchanga, wajivua lawama

    Unashangaa nini. Ccm si ndiyo wamempa Uenyekiti wa Bunge? Kuna kum support zaidi ya hapo? Kuna kumuamini zaidi ya kumpa uongozi wa juu katika chombo cha kutunga sheria, kuishauri na kuisimamia serikali? Tutarajie nini.
  4. T

    JamiiForums Tanzania ACACIA ni wezi, tukiungana hawana uwezo

    Nakupongeza kwa kuyajua mambo ya wazungu in and out. Ulikuwa wapi kuishauri serikali yako tangu matatizo haya yaanze au ndiyo umejua baada ya tume ya rais.
  5. T

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Tutanyolewa bila maji suala la mchanga wa madini, tusikurupuke

    Isije ikawa hawa maprofessor wakawa kama kocha wa sasa wa Man City. Wanajua kufundisha mpira ila hawajui kucheza!!!
  6. T

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Hotuba ya Rais Magufuli kuhusu Makontena ya Mchanga, inatia shaka ya rule of state

    Each case according to its merit. Tafakari.
  7. T

    JamiiForums Tanzania ARUSHA: Meya, Madiwani pamoja na Viongozi wa dini bado wanaendelea kushikiliwa na Jeshi la Polisi

    Ulevi wa madaraka. Mwisho wa walevi wa madaraka unajulikana.
  8. T

    JamiiForums Tanzania ARUSHA: Meya, Madiwani pamoja na Viongozi wa dini bado wanaendelea kushikiliwa na Jeshi la Polisi

    Ulevi wa madaraka. Mwisho wa walevi wa madaraka unajulikana.
  9. T

    JamiiForums Tanzania Gambo, kama ni mkusanyiko usio halali mbona wafiwa umewaacha?

    Sikujua kama rambi rambi ni time bound!!!
  10. T

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Maombi ya kumwombea Rais Magufuli yaanza kujibiwa

    Perfection, may be!! I'll always try to be right. I'll never aim for the unattainable. If that is being mediocre, accepted.
  11. T

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Maombi ya kumwombea Rais Magufuli yaanza kujibiwa

    Let him avoid trying to be perfect, but being right.
  12. T

    JamiiForums Tanzania Kubenea, njoo uone barabara zako za Sinza

    Huelewi usemacho. Soma post yangu ukiwa na akili tulivu, utanielewa.
  13. T

    JamiiForums Tanzania Masaki, Dar: Adam Malima atishiwa kwa Bunduki, Risasi zarindima kama Njugu

    The imprudent at their best.
  14. T

    JamiiForums Tanzania Masaki, Dar: Adam Malima atishiwa kwa Bunduki, Risasi zarindima kama Njugu

    Ilitosha kusema umesoma post kabla haijarekebishwa. Prudence so dictates. Sijui wehu ni akina nani sasa?
  15. T

    JamiiForums Tanzania Masaki, Dar: Adam Malima atishiwa kwa Bunduki, Risasi zarindima kama Njugu

    Soma post vizuri. Watakucheka watu.
Back
Top Bottom