Recent content by Twangala twizy

  1. T

    JamiiForums Tanzania Clinical officers training center Lindi

    Kipo jirani na sokoine referral hospital ..na mkabala na lindi secondary (lindi high school)
  2. T

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje ili kupata nafai ya kusomea fani hizi?

    Mungu ni mwema watakuja
  3. T

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje ili kupata nafai ya kusomea fani hizi?

    Naomba msaada wa kufahamishwa ni njia ipi mtu unaweza pata nafasi ya kusomea ualimu wa vyuo vya ufundi...au kusomea au kupata ujuzi wa fani za veta mfano civil...electrical.... plumbing...au agro mechanic
  4. T

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya NACTE yametoka?

    Already been
  5. T

    JamiiForums Tanzania Siku sita 6 zimebaki selection za NACTE kutoka

    Nni lazima usubiri kwa kuingiza kipato....ila lugha ya isimu ndio imetumika zaidi.
  6. T

    JamiiForums Tanzania Siku sita 6 zimebaki selection za NACTE kutoka

    Pressure ni kawaida kwani alopanga Maulana ndo huwa sema binadamu hatunaga subira tu
  7. T

    JamiiForums Tanzania Siku sita 6 zimebaki selection za NACTE kutoka

    *leo ni leo asemae kesho muongo*
  8. T

    JamiiForums Tanzania Siku sita 6 zimebaki selection za NACTE kutoka

    Kwa kawaida lazima mtu uwe na plan b Tuombe yote yawe mazuri.... I wait for ndanda nursing school and udom Kama nitachaguliwa itakuwa njema ila nisipochaguliwa ni mipango ya Allah.
  9. T

    JamiiForums Tanzania Chuo gani kinatoa mafunzo ya udereva wa treni?

    Tabora kijana
  10. T

    JamiiForums Tanzania Je ni lini deadline ya kutuma maombi kwa vyuo hivi?

    Naona kama tayari ishaanza ingia ktk link hii www.veta.go.tz then ukiingia utaona space ya registration itaingia
  11. T

    JamiiForums Tanzania Deadline NACTE ni leo-20/08/2017

    Nakushauri lipia tena 10000 na uanze process upya kwa upande wa education
  12. T

    JamiiForums Tanzania Deadline NACTE ni leo-20/08/2017

    Sio Mimi ni mvulana.... nursing wapo boys kibao ndio maana sikushangaa
  13. T

    JamiiForums Tanzania Deadline NACTE ni leo-20/08/2017

    Hata mimi imenitoka 20000.... kumi UDOM wenyewe... kumi UDOM NACTE.. 1.nursing 2.pharmacy 3.lab technology 4.telecommunication 5.gis& remote sensing Huku NACTE ... nursing and Midwifery.
  14. T

Back
Top Bottom