Recent content by Twande

  1. Twande

    Nafasi za kazi

    Prefered gender . . Female
  2. Twande

    Nafasi za kazi

    Ukiona haijatajwa ujue ni Dar es salaam!!! Japokuwa ni kujisahau lakini inge kuwa Iringa Mwanza Morogoro nisingesahau!! Hapa ndo tunapojikuta ukitaja Dar es salaam mahali popote asojua anajua ndo Tanzania. . . Kwikwikwii no hard feelings though. .
  3. Twande

    Nafasi za kazi

    Pm Kama una vigezo au ndugu yako
  4. Twande

    Nafasi za kazi

    Sifa: shule diploma ya fani yoyote, kazi customer care dukani, awe mtulivu, mwenye kujipenda na heshima, mwaminifu, Kama Huna diploma basi sifa hizo hapo na mwenye uelewa wa Hali ya juu utafikiliwa.
  5. Twande

    Nafasi za kazi

    Nimekupata. .
  6. Twande

    Nafasi za kazi

    Nahitaji wafanyakazi kazi inahusiana na customer service? kuuza duka na zingine utaelezwa baada ya interview, kigezo kikubwa uaminifu, kujua mahesabu, shule ni an added advantage, umri vijana mpaka mtu mzima aliyestaafu lakini yuko friendly kufanya nae kazi, i mean sio kuja kuwa mzazi, ahsante...
  7. Twande

    Frame inapangishwa, iko sehemu nzuri sana.

    Kichwa cha habari kinajieleza,frame si kubwa sana ila ipo pazuri sana inatazamana na gate la shoppers plaza Mikocheni, kwa stationary mambo ya mpesa max malipo nk inafaa sana, pia hata activity nyingine yoyote utayotaka kufanya panafaa. . twende pm if you are interested. .
  8. Twande

    Kicheche au Bahati mbaya?

    Nimekumiss bwana na leo nitakuwa mgeni wako utathibisha hilo. .
  9. Twande

    Kicheche au Bahati mbaya?

    Smile na mipango iliishia hapo?
  10. Twande

    Kicheche au Bahati mbaya?

    The boss ninekumiss actually nimeimiss familia ya Jf kwa ujumla!! Busy life!! Ar u the daddy here au the Ex lol. .
  11. Twande

    Kicheche au Bahati mbaya?

    Unaghaili na kuondoka bila kuaga mana bwana past zingine hazifai kuishi nazo and getting into this family your past will hunt you forever!
  12. Twande

    Kicheche au Bahati mbaya?

    Am sure the daddy will keep Quite but the rest will claim the girl is a prostitute with no specific reason. .
  13. Twande

    Kicheche au Bahati mbaya?

    Heheheeeee lolest!
  14. Twande

    Kicheche au Bahati mbaya?

    One word 'majanga'
  15. Twande

    Kicheche au Bahati mbaya?

    Your boyfriend wants u 2 meet his family, when u got there... The older brother is ur Ex boyfriend. The sister is the woman you were fighting with over a man. The mother is the nurse who begged u not to terminate ur pregnancy years ago but u did. And finally the father is the sugar daddy...
Back
Top Bottom