Recent content by twaleeb

  1. T

    King'amuzi na dishi la Azam Tv vinauzwa

    Fungua duka utauza fasta kwa bei hiyo
  2. T

    Ofa kwa watu watano kwa kufanyiwa service Air-condition

    Tunaongeza tena nafasi 5 kwa Jumamosi hii ni kwa Dar pekee yke Nyote mnakaribishwa
  3. T

    Ofa kwa watu watano kwa kufanyiwa service Air-condition

    Tunatoa offer kwa watu watano kwa Siku ya ijumaa kufanyiwa service Air-condition yko pamoja na fridge au kifaa chochote cha kuzalisha baridi au joto Pia kwa wale wenye Incubator mbovu pia tunarepair Kwa mawasiliano zaidi 0622 001 223 Tupo Kigamboni, Kinondoni pamoja na Buguruni Morogoro...
  4. T

    Tunatengeneza viyoyozi, friji na vifaa vyote vya kutengeneza baridi; tunapatikana Kigamboni, Kinondoni na Buguruni

    Tupo Dar tunapatikana kigamboni, kinondoni na buguruni kwa mawasiliano zaidi tupigie kwenye namba zifuatazo 0622001223 au 0673772880
  5. T

    Tunatengeneza viyoyozi, friji na vifaa vyote vya kutengeneza baridi; tunapatikana Kigamboni, Kinondoni na Buguruni

    Kwa matatizo ya Kiyoyozi (AC) fridge freeze na vifaa vyote vya kutengeneza baridi pia tunafunga na kurekebisha madishi umeme tupo kigamboni kinondoni na buguruni Tupigie kupitia namba 0673772880 au 0622001223 Nyote mnakaribishwa
  6. T

    Maalum kwa wenye vifaa vibovu

    Offer bdo inaendelea
  7. T

    Maalum kwa wenye vifaa vibovu

    Tunatoa offer ya kufanya service ya AC kwa 20,000/= Kwa mawasiliano zaidi tuwasiliane kupitia 0622001223 Nyote mnakaribishwa
  8. T

    Simu za Nokia orginal mpya bei chee kabisa

    Upo na Nokia 3310
  9. T

    Maalum kwa wenye vifaa vibovu

    Kwa wale wenye fridge au freezer ambazo wamegeuza kabati au mafundi zimewashinda Al-timimy Tech ndo suluhisho lako tuite nasi tutaitika Tunatengeneza mafridge freezer Aircondition (AC) majiko ya umeme na vifaa vyote vinavyozalisha baridi au joto Tunapatikana Kigamboni Kwa mawasiliano zaidi...
  10. T

    Ushauri wa bure kwa watumiaji wa kiyoyozi

    Habari wana jukwaa leo nimeona niongelee hili baada ya kuona wengi hatulizingatii Ukiwa unamiliki kiyoyozi ili kidumu ni vzr ukatumia njia hizi 1) kila baada ya wiki tatu zitoe filter za indoor uzioshe na sabuni hii itasaidia kuifanya kiyoyozi chako kisichoke haraka 2) kila baada ya miezi...
  11. T

    Nimechanganyikiwa, mwanaume akinipa hela ananiomba tena hela

    Nimesoma post zote kitu nilichogundua ww unatembea na mume wa mtu na kinachokuuma kwa mkewe anahudumia kila kitu ila kwako anakupiga saundi ila nakushauri uvae viatu vya huyo mkewe kisha utajua nn cha kufanya ila mm nampa hongera sana huyo jamaa na hili ninaloongea hapa nina uhakika asilimia 99.9
Back
Top Bottom