nyerere kitu alichotujengea watanzania kujua kwamba kuna kabila zaidi ya 120,na kila mtanzania anatambua hilo bila ya kujiuliza kabila gani ni kubwa na lipi ni dogo,kitu hicho ndo ambacho watanzania tutamkumbuka nyerere,tofauti ya nchi za wenzetu kama Kenya ukizungumzia makabila tu ni lazima...
ebwana ni kweli community ni ya Antony Diallo,lakini masuala ya ndege huwa hainunuliwi kwa keshi,inadidi uwe na kiasi fulani cha kuanzia alafu unapewa ufanyie kazi ili uwe unalipa kila baada ya muda fulani,kitendo hicho kinaitwa leasing,unanunua kwa mkopo ila tu kuna hela inayobodi uwe nayo ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.