Recent content by twafa-kali

  1. twafa-kali

    Hdraulic oil kwa Crown Athlete

    Upo sahihi kabisa na ndiyo maana nilipata shida kujua recomended gearbox fluid
  2. twafa-kali

    Hdraulic oil kwa Crown Athlete

    asante sana Mkuu. Nilielekezwa tayari nilinunua hii WS AT FLUID
  3. twafa-kali

    Hdraulic oil kwa Crown Athlete

    Nilimaanisha kwa gearbox
  4. twafa-kali

    Zifahamu Engine oil

    Asante sana bro
  5. twafa-kali

    Hdraulic oil kwa Crown Athlete

    Tafadhali wenye hizo gari mnatumia hydraulic oil aina gani ambazo ni recommended? Asante
  6. twafa-kali

    Zifahamu Engine oil

    Msaada Kaka. Gari Crown Athlete 2004 Hydraulic oil gani most preferable!?
  7. twafa-kali

    Sinza, Dar: La Chaaz Bar yateketea kwa moto

    Haya Mzee Baba. Ila sasa hapo kwenye source za income nyingi ndo shida. Mbona wengine tunazitafutia hadi kwa tochi hata hatuzipati??
  8. twafa-kali

    Je, nichukue Toyota Wish au IST?

    Nimecheka kifala aisee. Ebwana hebu tuombe radhi siye IST Users
  9. twafa-kali

    TANZIA Rest In Peace Tanzania One (T.O), Elias Kihombo

    JF bhana ..uzi ni wa huzuni lakini wakati huohuo watu wengine wanatupunguzia stress kwa comments zao
  10. twafa-kali

    TANZIA Rest In Peace Tanzania One (T.O), Elias Kihombo

    Kaka nimependa ulivyovuruga kwenye kimalkia chako kuanzia mstari wa pili, Maana utakuwa unaijua mwenyewe na si msomaji😂😂
  11. twafa-kali

    Mnaomiliki na kutumia Volkswagen 'chuma ya mjerumani' ni gereji zipi mnafanyia service & repair? Popote pale nchini

    Hapo ndo utofauti unaonekana Mkuu. Hiyo 5M ni gari nyingine unapata ya kijapani mkuu...Hatari sana.
Back
Top Bottom