Recent content by Tuvako

  1. Tuvako

    JamiiForums Tanzania Mambo 10 usiyoyafahamu kuhusu kuwa mpenzi wa kike ambae ni kibonge katika maisha na mapenzi

    Huna lolote...Najua umependa tu hiyo avatar
  2. Tuvako

    JamiiForums Tanzania Mimi ni Mlokole nataka kuoa Mroma

    Endelea kujipa moyo hivyohivyo na Udhehebu unaoushabikia.. Aliyekudanganya kuwa YESU aliacha ukatoliki ni nani!!!! Poor you
  3. Tuvako

    JamiiForums Tanzania Msaada please...Ninampenda dada yangu(Mtoto wa mama yangu mdogo)

    Mkuu Nashukuru...Mi ni mkristo
  4. Tuvako

    JamiiForums Tanzania Msaada please...Ninampenda dada yangu(Mtoto wa mama yangu mdogo)

    Wakuu...Naombeni msaada wenu wa mawazo... Nimetokea kumpenda sana mtoto wa mama yangu mdogo na nafikiri labda MUNGU akipenda,nafikiria kumuoa huko baadae..Ila bado sijamwambia kuhusu hisia zangu juu yake. Sasa je,Itakuwa sawa kama tukiamua kuoana? Hasa ukizingatia kuwa sisi ni ndugu..Je...
  5. Tuvako

    JamiiForums Tanzania Magembe hatihati kutorudi Mwanga 2015...

    Mkuu Kileo,Nimefurahi sana kusikia habari hizi njema..Ebana wilayani kwetu mwanga kuna shida sana ya hamasa kwa vyama vya upinzani.2010 alisimama mgombea wa CDM Ila hakusikika kabisa na wala hakuweza kuleta upinzani wowote!! SO SAD.. Nikushauri kitu kimoja,HAKIKISHA UNAPITA TARAFA ZA...
  6. Tuvako

    JamiiForums Tanzania Niko njia panda

    dunia kweli ina mambo...
  7. Tuvako

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni kimawazo nipo njia panda.

    hahaaaa hhaaaaaaaa
  8. Tuvako

    JamiiForums Tanzania Mwalim mwenzangu njoo hapa tuliwazane

    Mkuu...Hivi mpaka Uje JF kutafuta Mchumba,Ina maana huko Mtaani hawapo au ndo Udomozege?..Samahani lakini
  9. Tuvako

    JamiiForums Tanzania kusaidiwa!

    Hii kama hadithi ya Shigongo vile......
  10. Tuvako

    JamiiForums Tanzania Girl Vs Woman

    Mkuu Uko sahihi kabisa.... I like this
  11. Tuvako

    JamiiForums Tanzania Kuna ubaya kumpa penzi mama mkwe?

    Muulize Mkeo Hilo Swali atakupa Jibu zuri zaidi
  12. Tuvako

    JamiiForums Tanzania TCU: Darasa la saba sasa kujiunga na chuo kikuu moja kwa moja

    Wakuu.. Nimesoma hii habari kuwa Watu waliofika kuanzia darasa la saba na kuendelea ambao hawakuweza kujiendeleza lakini wana uzoefu kazini watapata Nafasi ya kusoma Digree katika Vyuo hapa TZ. Habari hii ni Nzuri lakini pia ni Mbaya. Ubaya ni kuwa sasa Digrii Itakuwa kitu cha Kawaida...
  13. Tuvako

    JamiiForums Tanzania TCU: Darasa la saba sasa kujiunga na chuo kikuu moja kwa moja

    Wakuu.. Nimesoma hii habari kuwa Watu waliofika kuanzia darasa la saba na kuendelea ambao hawakuweza kujiendeleza lakini wana uzoefu kazini watapata Nafasi ya kusoma Digree katika Vyuo hapa TZ. Habari hii ni Nzuri lakini pia ni Mbaya. Ubaya ni kuwa sasa Digrii Itakuwa kitu cha Kawaida...
  14. Tuvako

    JamiiForums Tanzania Wife is pregnant and hates me?

    Natalia wa MUZUNGU...Shikamoo dada!
  15. Tuvako

    JamiiForums Tanzania Kuna future hapa?

    Hapo Nakushauri chukua Hamsini zako Mapemaaaaaaaaaaaaaaaaaa.. Achana naye hakuna kitu hapo,Ndoa bado anatoa makucha hivi,Mkioana itakuwaje??? RUN AWAY.
Back
Top Bottom