Recent content by Tutuma Bonifasi

  1. Tutuma Bonifasi

    Dini za sasa malengo yakufaranganisha

    Kwanza kabisa nianze kwa kumshukuru Mungu kwa mema yote aliyonijaalia kwa afya njema na upeo wa kuweza kuchanganua mambo magumu.Mada ya leo hakika ni ngumu sana wakati mwingine napata hofu kuijadili kwa kina,na hii ni kwa sababu binadamu tumeumbwa kwa hofu na hata mafundisho tunayopewa...
  2. Tutuma Bonifasi

    The reasons for low voter turnout in Tanzania

    Voter turnout is the total number of eligible voters that turn out for an election. Voting is considered the most important form of political participation in a democracy. However, in recent years most election has indicated a fall of voter turnout in elections in both new and established...
  3. Tutuma Bonifasi

    Udhaifu wa viongozi wa serikali kuendelea kuligharimu taifa

    Kiongozi ni mtu yeyote anayewaongoza watu/kikundi cha watu ili kufikia malengo waliyoafikiana,aweza kuwa wa kuchaguliwa,kuteuliwa na vyovyote ili mradi analinda maslahi fulani. Viongozi wa Serikali wamegawanyika katika makundi mawili makubwa Mosi viongozi wa Kuchaguliwa na Viongozi wa kuteuliwa...
  4. Tutuma Bonifasi

    Tume ya Utumishi wa Mahakama imetoa majina

    mkuu naomba uniangalizie Bonifasi
  5. Tutuma Bonifasi

    Tume ya Utumishi wa Mahakama imetoa majina

    mkuu tuwekee na majina ya afisa utumishi
  6. Tutuma Bonifasi

    Tume ya Utumishi wa Mahakama imetoa majina

    mkuu naomba utuwekee basi na ayo ya majina afisa utumishi
  7. Tutuma Bonifasi

    CHADEMA, CCM wakunjana ziara ya Makalla na John Mnyika

    Watanzania tuache ushabiki wa kisiasa kwenye mambo ya msingi...Wananchi hao masikinindio wanateseka na kutokupata maji safi na salama...Ni wajibu wa Serikali kuwaletea wananchi wake maji na huduma nyingine.......No permanent friend or enemy but permanent interests....wananchi wenye uelewa mzuri...
  8. Tutuma Bonifasi

    Harakati za vijana kutamani uongozi Tanzania

    Tafakari ya kina haina budi kufanya ili kuweza kufanya upembuzi yakinifu (feasibility study) ili kuweza kujua ni aina gani ya kiongozi tunayemtaka ili kuweza kusukuma gurudumu la Maendeleo ya waTanzania. Ni jambo la msingi na muhimu sana kwa sababu inasadikika maendeleo ambayo Tanzania...
Back
Top Bottom