Recent content by Tutu2299

  1. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Asmah anatumia dawa za mvuto huyoo,ila tu mungu anakulinda Insider na hakuna kitakachoendelea kati yenu :D
  2. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Asante sana mkuu barikiwa sana
  3. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    tuwekee hata kwa wiki mara tatu jamani maana kila siku lazima nichungulie kama umeweka mpya aisee hii arosto hatarii
  4. T

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Unyanyasaji kwa Walimu wanaofundisha shule ya St. Matthew

    nakubaliana na wewe mimi nimesoma ile shule,Enzi za yule baba Mutembei ilikuwa St mattew's haswa jamani,Roho imeniuma sana kusikia haya dah,Sijui kwa sasa imekumbwa na nini eti usikie kuna disco shuleni wee! mwenyewe aliwahi kuwafukuza watu wa kampuni moja walikuja kufanya concert na wanafunzi...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Msegemnege

    usitusahau sana mkuu tuna arosto
  6. T

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Msegemnege

    Jamani mkuu vipi mbona hivyo,jumapili imepita kimya
  7. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Kabisa kabisa,Image mi nilijikuta nammiss kama namjua vile :D
  8. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Insider muda gani utashusha episode nyingine nasubbir kwa hamu 🔥
  9. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Dah! hii story 🔥 👍
  10. T

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Msegemnege

    Dah utamu unakata
  11. T

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Msegemnege

    hongera mkuu bonge la simulizi 👏 👍,huko mbele inaonekana itakuwa balaa🔥
Back
Top Bottom